Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Balango nayo ni dalili ya ukimwi
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1065
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mimi ni mjazito siku zangu zimekaribia za kujifungua na Niko na shida za saa nyengine ya pumzi shida ni nini
Vipele vidogo vidogo chini ya uume halafu ukivikuna vinatumbuka na kuwa kidonda
Me moyo unaendag mbio halaf kooni nakuwa kama kuna kitu kimeban mpk kweny kifua
Kama mama mjamzito ana presha yake iko juu je atasaidiwa vipi ajifungue
Habari, nimeng'atwa na nyuki zaidi ya 100 lakini sijaona madhara yoyote na ni wiki sasa imepita, Jumapili 14/05/2023 hadi leo ni 19/05/2023, je, naweza pata madhara siku za baadae?
Habari mm ni mjamzito na nina wiki mbili nazihisi hizo dalili zote kumi ulizoolozesha ila pia nina wiki moja maji yanatoka ukeni je ni sawa na leo ndo cku yangu ya makadiliyo ya kujigungua ila nimemka Sina dalili yoyote ya uchungu napata na mawazo naomba nisaide nifanye nn