UTARATIBU WA KUWASILIANA NASI

Kama upo tayari kuwasiliana nasi kwanza download app yetu ya bongoclass. Bofya hapa ku download kisha baada ya kuifunguwa kwenye menyu kwa juu upande wa kulia bofya palipoandikwa ULIZA kwa mandishi meupe. Hapo utapelekwa kwenye ukurasa wa ku login ama kujisajili.Kama ulishawahi kujisajili uta login, vinginevyo utafunguwa akaunt yako. kisha utapelekwa kwenye ukurasa wa dhashoard kwenye menyu bofya palipoandikwa uliza.