SWALI

Habari Doctor pole na majukumu,nna tatizo la kuumwa chini ya kitovu uume unawasha kwa ndani na nikikojoa mkojo unanuka then unatoka na vitu vyeupe vyeupe ukiwa na rangi ya njano lkn nimeenda kupima UTI nikaambiwa sina naomba ushauri Doctor

Swali No. 734


JIBU
Samahani Jbu la swali hili Limehifadhiwa. Nicheki Whats App upte majibu ya swali hili.
Nicheki WhatsApp Bofya hapa(Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 734 )

Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 14-03-2023-10:00:37 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA