Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kuruka kwa tarehe ya hethi inaweza sababisha kuto kushika mimba
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 740
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Serengeti lager ni kweli haina sukari kama walivyo andika?
Mambo...hope uko poa...samahan nataka kujua kuhusu ujauzito mchanga,,,m nasikia tumbo langu ni kama Alina matumbo kabsa n tupu inaweza kuwa dalili ya mimba?
Nataka kujua dawa na matibabu ya gonoria
Habari mimi ni msichana wa miaka 28 nahisi nilifanya mapenz na mtu si salama na hatukutumia condom je! Naweza kujua dalili za mwanzo za V.V.U?
Mimi naitwa samson.Nilikuwa nakuomba unisaidie kazi za vitamin zote, a b,c d e k
Je kama utete unao Toka ukeni unakuwa na njano njano tatizo nn