Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Naulisa ukiwa unakunyua pombe unawesa ambukizwa ukimwi .
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 726
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Samahani Mimi Toka juzi Kuna Hali naiyona tumbo linanium alafu cpati amu ya kula kabisa nikila natapika itakuwa ni Nini naomba nisaidie na chuchu zinauma na kuwasha sana
Na je Kuna complication gan anazopata mtyu akitoa ujauzito wa wiki mbili
Mimi Nina umri wa miaka 33 ninatatizo la kutoshika ujauzito
Nina swali mutu kuwa na mate machungu ndani ya miezi 6 ni dalil yq ukimwi?
Natokwa na majimaji ukeni masafi hayana harufu yeyote lakin Kuna mda yanaweza yakatoka mengi kidogo kiasi Cha kulowesha chupi mpaka taiti
Ni tatizo Gani hili? Kwa sasa ni siku ya nne tangia nilione tatizo hili na lilianza mara tu baada ya kukutana kimwili na mwanaume
Mm ninafangas uken nimechubuka nitumie daw gan