SWALI:
Hello, Mimi Nina wasiwasi kwani nikipatq hedhi tarehe 17 mwezi wa Kwanza na nkashiriki ngono tu baada ya kumaliza hedhi je naeza pasta mimba? NaombA usaidz
Swali No. 205
JIBU
Huwezi pata mimba, kwani hizo ni siku salama. Yai bado halipo tayari kurutubishwa kuwa mimba. Na pia mwili haujajiandaa kwa kubeba mimba.
Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 06-02-2023-14:10:13 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nicheki Nicheki WhatsApp