Swali #593
03-03-2023 05:06:16
<p>Swali lang mim Kila kunapo ingia usiku natokwa na vipel vidovidog mwil mzima na kukikalibia kukucha tu vipele vyote upotea kinacho bak niviungo vyang baaz kama mkon na ckunyengine mkono unaacha kuuma unafat mkuu na muda mwengine viungo haviumi vinatoka vipele tu sas cjajuah shida nin au nidalil ya nin.</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 593