Pata jibu kamili kuhusu swali lako
MAumivu makali chini ya tumbo baada ya tendo
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 114
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Dokta mm tumbo langu laniuma mda mwengine nikimaliza kula ama nikimaliza kwenda haja kubwa nkikaa na njaa yani huniuma lote naomba sulution
Ninapenda kuuliza swali, kuhusu tiba ya macho, macho yanaona vimulimuli Kwa mbele, vikiisha hvyo vimlimli kichwan kinaanza kuuma Sana,, je nitumie Gani kutibu tatizo Hilo, au ushauri Gani Ili niweze kujikinga na tatizo kama hili
je dalili hizo za ukimwi zinachukua muda gan kutowekana zinakua ningapi
Je kucha hubadilika rangi na kuwa rangi ni dalili ya ukimwi?
Je anaweza hisi ungumu pemben ya tumbo na maumivu kuzunguka kitovu
Ninasumbukiwa na uvimbe wa titi nitajuaje kama uvimbe ni wakaida na nimda gani nikae ili nikamuone doctor?