SWALI

je dalili hizo za ukimwi zinachukua muda gan kutowekana zinakua ningapi

Swali No. 543
JIBU

Dalili za ukimwi haziwezi kutoweka mpaka pale mgonjwa atakapoanza matibabu na afya yake kurudi sawa. 

Ama dalili za HIV hutokea kati ya wiki ya pili mpaka ya sita toka kuambukizwa,  na baada ya hapo zinatoweka.Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 27-02-2023-17:20:31 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA