SWALI:

Je, malaria husababishwa na nini?

Swali No. 1298




JIBUMalaria husababishwa na vimelea vya plasmodium, ambavyo huenezwa na mbu wa kike wa Anopheles.



Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 24-01-2023-08:28:40 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp






MASWALI YANAYOFANANA