Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Ninawashwa sana sehemu za mapaja naweza tumia dawa ganii
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 83
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Ivi kweli majivu hutoa mimba baada ya wiki moja
Ni kwamba tumbo linaniuma kwa Chini na Nina kojoa Mara kwa Mara lkn tulifany siku ya kwanz wakat natoka kwenye siku zangu je nayo ni dalili ya mimba au ni hofu ndy imenitawala
Pia Kuna uwezekano mwanamke kua na ujauzito pasipo discharge yaani kutokwa na damu
Habari za muda huu. Naomba kuuliza. Mimi nasumbuliwa na tumbo Tarehe za Hedhi zinapishana mpaka miezi yapishana mwezi naona mwezi sioni nanikiona napata maumivu makali sana pia ujauzito aupatikani na sijaweka kinga yapata miaka miwili sasa lakini amna ujauzito. Ni ilo tu mkuu
Nina mimba ya wezi na wiki mbili ila kuna siku napat iyo damu alafu inapotea aina shida kwangu??
Naomba kujua shubiri nini.ambayo mgonjwa wa vidonda vya tumbo anaweza kutumia?