Swali #78
30-01-2023 08:25:49
<p>Niliwahi kufanyiwa operation ya ectopic pregnancy na nikakatwa mrija 1 wa uzazi hapa nna mrija 1 tu wa uzazi ingawa nilibahatika kuzaa mtt1 kwa njia ya kawaida namshkuru Sana mungu nataman kuzaa Tena ila sishiki mimba sijui kwa nn</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 78