Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Fangasi wa uume unatibuje kwa mafuta ya nazi na ni yep yanafananaje
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1008
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Na swali juu ya kujuwa mke wng naweza anaweza kujuwa km ameshika mimba baada ya siku ngap baada ya tendo
Ikiwa naanza siku za hatari nakuwa na joto sana mpaka siku za period nyingne ya mwezi ujao hii inakuwa ni nn? Maaana naweza kuhis Nina mimba lakin hatima yake naingia period hii ni tatizo?
Mm nimedunga sindano tarehe tano za mwezi wa kwanza n'a mpaka sasa sijaona siku zangu ila nabaki nasikia maumivu chini ya kitovu kwa mbali n'a nimefanya tendo la ndowa siku iliofuata tarehe 6 je naweza kupata mimba?
sorry nitajuaje kama nyoka kaning'ata mara tu baada ya kumkanyaga
Doctor me nonaomba ushauri maziwa yangu laini sana afu napata kizunguzungu na kuumwa na tumbo chino ya kitovu na mkojo wangu una rangi nyekundu shida nn
samahan mi miguu yangu inauma kwenye magoti kwa chini