Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je kuwa namabaka mekund kwenye mdomo ni dalili mojawapo ya ukimwi
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1149
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nilingia period tarehe 16 mwezi wa 2 nikashiriki tendo la ndoa 3 je nnawezekano wa kua na mimba maan mpka Sasa sijaingia Tena period
Hlw me kujuwa nilipima nyumbani mimba baada kukosa siku zangu kwa miezi 2 na niumwa hivyo majibu yakaja hivi. Je dr naomba unisaidie ni mimba ?
Maana Mimi mke wangu tarehe ya kujifungua iliyokadiriwa ni 11/3/2023 lakin naona saiz kama anadalili za uchungu anaumwa tumbo ,uchovu mwingi,mtoto anashuka chini,nk
Nina miaka 49, mwanamke.nimeenda hospitari nimeambiwa na presha nimepewa vidonge ila bado miguu inauma sio kawaida wiki mbili zimepita naomba msaada nifanyeje
Wakati wa kukojoa huwa na pata maumivu makari Sana pale ninapomaliza kukojoa na maumivu chini ya kitovu je ni ugonjwa?
Kwaiyo milija ya uzaz ukiwa umeziba unatibiwa vip unapatiwa daw amaa