Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Habari naomba kuuliza eti mimba huanza kuonekana siku ya ngap
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 736
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Morning... sorry nina swali.. nasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo na inapelekea mpka vinafika kooni ... je nitumie dawa dawa gani ili zinisaidie???
Samahan mimi mzunguko wangu nsku 30 uwezekano wakupata mimba nsku gan hasa mtoto wakiume
Faida ya kutumia matunda kiafya ni zipi
Samahn mm nko naujauzito lkn vyakula vyote ckuli yaan nkikula natapik hata matunda nayatapik nifany nn ati
Samahani nlinunua kipimo cha hiv nikajipima mwenyewe majibu yalitoka negative lakini baada kama ya lisaa limoja nlipoludi kuangalia kipimo kwa mala ya pili nikakuta kuna msitari1 wa negative unaoonekana vizuri kabisa halafu kuna mistari mingine miwili iliyopimda pinda na haijafika chini jumla inakua mi3
Tatizo la kutokwa na maji maji mepesi meupe yasiyo na harufu ukeni kama maziwa ni dalili ya ugonjwa gani?