Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Mtuakipata ukimwi atakuwa anajikiaje Yani kiafya kwasikuhio yakwanza
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 380
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Hbr samahi maumivu ya misuli kukazaa, kuuma sehemu ya chin ya tumbo na kiuno itakuwa shida gan hiyo
Habari Doctor pole na majukumu,nna tatizo la kuumwa chini ya kitovu uume unawasha kwa ndani na nikikojoa mkojo unanuka then unatoka na vitu vyeupe vyeupe ukiwa na rangi ya njano lkn nimeenda kupima UTI nikaambiwa sina naomba ushauri Doctor
Naomba kuuliza je kwa mtyu mwenye mzunguko wa siku 28 akishiriki tendo la ndoa cku ya kumi kutoka cku ya kuanza mp mfano mp nmeanza trh 6 then nkafanya mapenz trh 15 je napata ujauzito
Hey!! Swali lang ni je mtu akiw na damu nyingi mwilin mwakee akitakaa kupunguz bila kutumia vidongee anashauriwa kufanya nn?
Nimesoma makala Yako kuhusu dalili za ukimwi ,nahitaji kujua ni Kwa muda gani mtu atachukua virusi kuonekana kwenye vipimo anapoambukizwa
Mie sijapima Kama Nina mimba lakini nina week moja sasa sipo kawaida nikiamka asubuhi najisikia Kama kichefuchefu lakini sitapiki nahisi natumbo Kama linajaa gas