Swali #1062
16-04-2023 05:40:58
<p>Samahani muudumu naomba unielekeze kuhusu hili swala nilialibikiwa mimba ya mwezi mmoja na nilitokwa na damu ndan ya wikiii sita na nimekaa wiki mbili damu zinatoka tena ivii ni tatizooo aul</p>
<p>Na pia baada ya damuu kukata nilitokwa na ute ute ambao ulikuwa unaniwasha</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1062