Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kutokwa na vipele ni dalili ya mashambulizi ya bakteria. Tofauti na kutumia dawa za fangasi za kupaka ulitakiwa kutumia antibiotics kwa ajili ya kupambana na bakteria.
Jambo la kufanya onana na daktari akufanyie uchunguzi tofauti na kwenda duka la dawa.