SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #666 09-03-2023 04:41:23

<p>Je kugusana na mwanamke ambaye unaruhusiwa kumuoa kama mkeo ukiwa na udhu je habatwilishii udhuu?</p>

JIBU

Kumgusa mwanamke ama mke hakuharibu udhu kwa maoni ya baadhi ya Maulamaa. Katika mapokezi ya Hadithi Mtume siku moja alikuwa  nyumbani kwake. Sasa ikawa sehemu ambayo anasujudi mkewe Aisha alikuwa amelala na kuweka miguu yake. Hivyo akawa Mtume anamgusa miguu yake ili aondoke apate kusujudi. 

MASWALI YANAYOFANANA