Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je izo protine poda za mazoezi zina mazara kiafya?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1004
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Hello, Mimi Nina wasiwasi kwani nikipatq hedhi tarehe 17 mwezi wa Kwanza na nkashiriki ngono tu baada ya kumaliza hedhi je naeza pasta mimba? NaombA usaidz
Ninatokewa na vijiupele kwenye kichwa cha mboo Kuna dawa nilipewa ya kupaka ila vinapotea na kurudi
Habari ya saa,Naomba kujua mke wngu ana mimba ya mwezi mmoja sasa ila akivua chupi yake huwa na ute ulio changanyik na damu kiasi ,hii ni dalili gan naomba msaada
Nauliza eti kama huna mimba na tarehe za kuingia period bado na kuna damu kidogo inatoka je inasababishwa na Nini?
Naomba kuuliza je watu waliasilika wajaanza dawa kwana mke na mume wanaendelea kushiliki tendo LA ndoa madharayake nini?
Sorry nlikua naomba kuuliza kuharisha kinyesi cheusi inaweza kusababishwa na nn