SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #1173 04-05-2023 12:17:50
Question Icon

Habari za jion 
samahan nlikuwa nauliza maana mm period naingia tarehe 2 ila mpk leo sijaziona na nashikwa na kizunguzungu pia tumbo linakuwa linauma japo si kila mda pia nakua nahis kuna kitu kimekaa kwenye koo km kinataka kutoka ety itakuwa ni dalili ya mimba au?

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.


Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1173

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi