SWALI

Kipimo cha damu chenyewe kinatoa results kwa mimba ya mda gan

Swali No. 509
JIBU

Kipimo cha damu kinaonyesha matokeo ya upimaji wa mimba kama ipo ndani ya siku 6 hadi 8.

 

Kipimo cha mkojo hushauriwa kitumiwe baada ya kupita siku zako za hedhi. Hata hivyo chenyewe ndani ya wiki tatu kinaweza kukupa majibu. 

Reference: https://drhesselmd.com/pregnancy/how-early-can-i-take-a-pregnancy-test/

 Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 25-02-2023-15:26:27 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA