Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kinga ya mwili hupatikana vipi?
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Je kama tumbo linapata joto ila hakuna kuharisha, kichwa kinauma na sehemu ya mbele ya siri inawasha hii ni dalili za ugonjwa ganj
Nilikuwa nauliza natokwa na uchafu warangi ya njano arafu mzito hili litakuwa nitatizogani
Je mgonjwa akiwa anajisaidia haja kubwa inayoambatana na damu damu, inamaanisha ni sugu au vp
Je? Ikiwa n ujauzito matone ya dam hutoka kwa siku ngap?
Yaan vyakula vya protin nikila vinanizulu nifanyejee Yaan mwili unakosa nguvu kabisa
Jinsia ya kiume na umri wa 24. Je mwanamke akivusha siku zake mpaka miezi miwili baada ya hedhi nikikutana nae tufanye siku ya60 baada ya kupata hedhi. Je anaweza pata ujauzito nikikutana nae?