Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Ety mwanmke akishapita siku zake za hatari je zinaweza kurudi tena kabla hajapata hedhi nyingine ata kama akikaa miezi miwili
Haziwezi kurudi tena mpaka amalize hedhi yake.
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Chanjo ya HPV inalinda dhidi ya nini?
siku salama na siku hatari kwa mtu mwenye mzunguko wa siku 28 ni zipi?
mm najaribu kufanya sex kwenye siku hatari lakn Mtu wangu hashiki mimba mpk saiv Nina miezi Tano tunatafuta mimba lakn Hamna. Na pia Kwa Upande wangu naona manii ni nyepesi sio Kama zinazohitajika . Nini suluhisho lake mkuu
habari samahani mimi nililala na mtu wangu siku za hatari and nikanywa p2 je naweza kupata mimba coz tumbo linauma na naona kama damu nyepesi
Habari Doctor pole na majukumu,nna tatizo la kuumwa chini ya kitovu uume unawasha kwa ndani na nikikojoa mkojo unanuka then unatoka na vitu vyeupe vyeupe ukiwa na rangi ya njano lkn nimeenda kupima UTI nikaambiwa sina naomba ushauri Doctor
Dalili za kisukari ni zipi?