SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #52 28-01-2023 08:05:08

<p>Namaswali machache&nbsp;<br /> Kuhusiana kushik mimba.<br /> Mimi niliingia period tarehe 4 mwez uliopita yaan December, n mwez wa11 pia niliingia hedhi tarehe 4.&nbsp;<br /> So maximum kua siku ya hatr n siku ya10 c ndio ambay n tareh13 na nimekutan n mmewangu siku za hatr kimwili, leo nimepima mimba Ila kimekuj kimstari kimoja, inamaanisha sina mimba au nimewahi kupima ujauzito?</p>

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.

Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 52

MASWALI YANAYOFANANA