Hatua mbili kuu za kushuka kwa Quran

Quran (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

QUR’AN

    5.1 Kushuka Qur’an.

  1. Kushuka kwa jumla kutoka Lawhi-Mmahfuudh hadi mbingu ya Dunia.
  2. Kushuka kigodo kidogo kutoka mbingu ya Dunia kwenda kwa Mtume (s.a.w). 

  

        -    Qur’an ilianza kushuka mnamo mwaka 610 A.D, Mtume (s.a.w) akiwa na umri wa miaka 40. 

        -    Qur’an ilikamilika kushuka kwa muda wa miaka 23 sehemu kidogo kidogo.

            Rejea Qur’an (97:1), (2:185), (44:3).

 

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Sira Main: Dini File: Download PDF Views 2486

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi    👉2 Madrasa kiganjani    👉3 Kitabu cha Afya    👉4 Bongolite - Game zone - Play free game    👉5 Simulizi za Hadithi Audio    👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)   

Post zinazofanana: