Post hii inahusu zaidi dawa za fangasi na matumizi yake kwa kutumia dawa ya fluconazole kama dawa mojawapo ya fangasi.
Ijue fluconazole kama dawa ya kutibu fangasi.
1. Flucanozole ni Mojawapo ya dawa ya fangasi ambayo IPO kwenye kundi la Azole na dawa nyingine ambazo ziko kwenye kundi hili ni kama vile ketaconazole miconazole na clotrimazole. Dawa hizi usaidia kutibu fangasi mbalimbali kwenye mwili na kuifanya mwili uwe kwenye hali ya kawaida.
2. Dawa hii ya Flucanozole ufanya kazi kwa kupambana na enzyme ya fangasi ambaye anasababisha fangasi, kwa kuizidi nguvu enzyme ya fangasi dawa uweza kuua yule mduu anayesababisha maambukizi na kuufanya mwili kuwa kawaida kwa kupambana na enzyme ya fangasi anayesababisha maambukizi.
3. Flucanozole usaidia kutibu fangasi za kwenye oesophagus, fangasi za kwenye Koo na fangasi za kwenye sehemu za Siri hasa kwa wanawake utibu candidiasis kwa kutumia dawa hii ya Flucanozole fangasi zote uisha na mtu urudis kwenye hali ya kawaida na kuendelea na shughuli mbalimbali.
4. Matokeo ya kutumia dawa hii ya Flucanozole ni pamoja na kutapika, kuharisha, maupele kwenye mwili wa binadamu hizi dalili zikitokea kwa mtu hasiogope Bali aendelee kumeza hizi dawa na kuna mda haya matokeo yataisha au kama hali itakuwa mamba mgonjwa inabidi apelekwe hospitali kwa ajili ya uangalizi zaidi.
5. Pamoja na kutibu fangasi za sehemu mbalimbali Kuna wagonjwa ambao hawapaswi kutumia dawa hizi ni pamoja na wale wenye allergy na dawa hii pamoja na wale wote ambao Wana matatizo ya inni hawapaswi kutumia dawa za Flucanozole zinaweza kuleta madhara mengine makubwa ambayo hatutegemei.
6. Kwa hiyo tumeweza kujua faida za dawa hii ya Flucanozole kwa hiyo tunapaswa kuvitumia kwa kufuata maelekezo ya daktari na kuweza kuitumia bila shida kwa hiyo hii dawa ni nzuri na imewapinuesha watu wengi ambao wameitumia kwa wingi na wamepatwa matokeo mazuri ya afya zao kwa hiyo dawa hii hakipaswi kutumiwa na watu wenye matatizo ya inni na wenye allergy.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi dawa za Doxorubicin and Daunorubicin katika kupambana na kansa.
Soma Zaidi...Nitakujuza dalili za UTI na dawa za kutibu UTI. Pia tutaona njia za kujikinga na UTI pamoja na dalili za UTI
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa za kisukari, kwa sababu ya kuwepo kwa ugonjwa wa kisukari vilevile kuna dawa zake ambazo utumika kurekebisha sukari kama imepanda au kushuka.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ambazo zinatumika kwenye matibabu ya kansa, dawa hizi usaidia kuharibu seli ambazo ambazo hazistahili kwa kitaalamu huitwa malignant seli.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya phenoxy-methyl penicillin ambayo upambana na aina ya bakteria ambao utoa sumu Ili kuzuia dawa isifanye kazi.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya Prednisone ambayo usaidia katika kupambana na aleji.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya carvedilo katika matibabu ya magonjwa, ni mojawapo ya dawa kwenye kundi la beta blockers na pia uhusika katika matibabu ya magonjwa ya moyo kama nyingine.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi kazi za dawa ya Artesunate katika kutibu Malaria kali, ni dawa ambayo inatumika sana kutibu Malaria kali.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa za mitishamba za kutibu meno
Soma Zaidi...Flagyl ni nini? Flagyl (metronidazole) ni antibiotic. Inapigana na bakteria katika mwili wako. Flagyl hutumiwa kutibu maambukizo ya bakteria ya uke, tumbo, ngozi, viungo na njia ya upumuaji.
Soma Zaidi...