Posti hii inahusu zaidi Aina za kansa, Kansa ni Aina ya ugonjwa unaosababishwa na kuzaliana kwa seli ambazo sio za kawaida.
Aina za kansa.
Kansa utegemea na sehemu ambapo ushika na ndo uitwa kwa Jina hilo, zifuatazo ni Aina za kansa.
1. Kansa ya mapafu hii ni Aina ya Kansa ambayo maambukizi utokea kwenye sehemu ya mapafu, ambapo mapafu ujaa maji na pengine uvimbe uweza kutokea kwenye sehemu za mapafu
2.Kansa ya koo
Hii ni Aina ya Kansa ambayo maambukizi yake utokea sana kwenye Koo ambapo sauti ukwama na pengine mtu ushindwa kupitisha chakula kwenye Koo.
3. Kansa ya damu ambayo kwa Jina jingine huitwa Lukemia ni Aina ya Kansa ambayo maambukizi yake utokea kwenye damu ambapo mgonjwa uhishiwa damu na Kansa hii isipopata dawa inaweza kupoteza mgonjwa kwa mda wa dakika chache.
4. Kansa ya mifupa
Hii ni Aina ya Kansa ambayo ushambulia sana mifupa Kansa hiii usababisha mifupa kusagika na mgonjwa anaweza kushindwa kutembea na pengine maumivu uwa mengi kwenye mifupa
5. Kansa ya ngozi
Hii ni Aina ya kansa ambayo ushambulia sana ngozi ya mgonjwa na pengine mgonjwa uwa namapele yadiyoponeka na mda mwingine kutoa harufu mbaya ambayo utisha na kumfanya mgonjwa akose amani
6. Kansa ya matiti hii ni Aina ya Kansa ambayo maambukizi mengi utokea kwa wanawake ambao hawazai kabisa na ambao hawanyonyeshi au unnyonyesha kidogo. Lakini inaweza kuwapata wanawake wote, na hata wanaume pia.
7.Kansa ya utumbo mdogo hii ni Aina ya kansa ambayo ushambulia utumbo mdogo na Mara nyingi usababishwa na kuwepo kwa vidonda vilkali vya tumbo na dalili zake ni kutokwa na damu kwenye kinyesi.
8.Kansa ya kizazi, hii ni Aina ya Kansa ambapo mashambulizi mengi utokea kwenye kizazi, inawezekana ni kwa sababu ya kutoa mimba kwa kiasi kikubwa kwa njia ambazo sio sahii na pengine ni kwa sababu ya magonjwa ya zinaa.
9. Kansa ya kwenye ubongo, hii ni Aina ya Kansa ambapo uvimbe uonekana kwenye sehemu za kichwa, Dalili ambazo utokea ni pale mgonjwa anakuwa anaumwa kichwa sana.
10.Kansa ya kibofu Cha mkojo , hii ni Aina ya Kansa ambapo matatizo mengi utokea kwenye mkojo, inawezekana ni kwa sababu ya sumu nyingi wakati wa kuchuja mkojo.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa macho, ni ugonjwa ambao ushambulia zaidi sehemu za nje za macho ambazo kwa kawaida uitwa conjunctiva na cornea hizi sehemu zikipata maambukizi zisipotibiwa mapema uweza kusababisha upofu kwa mgonjwa.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na uvimbe wenye uchungu wa mishipa midogo ya damu kwenye ngozi yako ambayo hutokea kutokana na ongezeko la joto la ghafla kutokana na halijoto ya baridi. Pia inajulikana kama pernio, chilblain inaweza kusababisha kuwasha,
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi tatizo la kuwepo kwa asidi nyingi mwilini hali uwasumbua watu wengi na kufikia kiasi cha kusababisha madhara mengine mawilini ikiwamo pamoja na kansa ya koo, ili kujua kama una wingi wa asildi mwilini unapaswa kujua dalili kama ifu
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya njia za kuzuia kiungulia
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za maambukizi kwenye nephroni, ni vitu vinavyosababisha mabukizi kwenye nephroni.
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukuletea dalili za fangasi wa sehemu za Siri kwa wanaume
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu faida za bamia mwilini
Soma Zaidi...Je unahitaji kujuwa kama umepata ujauzito baada ya kufanya tendo la ndoa? hakika sio rahisi ila kama utakuwa makini utaweza.
Soma Zaidi...