Kazi ya chanjo ya kifua kikuu
Posti hii inahusu kazi ya chanjo ya kifua kikuu kwa kitaalamu huitwa BCG. Ni chanjo ambayo uzuia kifua kikuu na ukoma.
Kazi za chanjo ya kifua kikuu.
1. Hii ni chanjo ambayo uzuia kifua kikuu na pia uzuia maambukizi kwenye mfumo wa hewa kwa hiyo hii chanjo ni kwa ajili ya watoto wakizaliwa na sio kwa ajili ya watu wazima, hii ni Chanjo muhimu sana kwa sababu kifua kikuu kwa watoto ni ugonjwa wa hatari sana ambao usababisha makuzi ya watoto kurudi nyuma kwa hiyo sisi kwa pamoja tushirikiane na kuhakikisha kuwa mtoto amepata chanjo hii ya kifua kikuu na kumfanya mtoto haishi kwa furaha kama watoto wengine.na kuendelea kuwa na afya nzuri wakati wa makuzi ya mtoto.
2. Pamoja na chanjo hii kuzuia kifua kikuu pia uzuia na ukoma kwa watoto, tunajua kuwa ukoma ni ugonjwa ambao uharibifu sehemu mbalimbali za mwili kama vile kuondoa vidole na sehemu nyingine za mwili, kwa hiyo ugonjwa wa ukoma ni hatari sana kwenye jamii, Ili kuutokomeza tunapaswa kuwapatia watoto wetu chanjo ya kifua kikuu ambayo kwa kitaalamu huitwa BCG Ili kuweza kuepuka madhara mbalimbali yanayoweza kutokea iwapo chanjo hii hailatolewa kwa mtoto kwa hiyo elimu inabidi itolewe kwa wazazi kuhusu ugonjwa huu wa ukoma na madhara yake Ili kuweza kuwapa watu moyo wakufatilia chanjo ya kifua kikuuu.
3. Pamoja na faida nyingi za chanjo hii Kuna matokea mbalimbali yanayoweza kutokea iwapo chanjo hii imetolewa kwa mtoto na matokea hayo udumu kwa mda mfupi tu kama vile maumivu sehemu ambapo mtoto amechomwa sindano,na pengine mtoto anaweza kupata kidogo kidogo ambacho kinalingana kama size ya kalamu ya risasi kwa hiyo hii sindano isipotolewa ipasavyo inaweza kusababisha madhara mengine makubwa kwenye mwili wa mtoto.
4. Kwa hiyo tunaona madhara ambayo utokea iwapo mtoto hatapata chanjo hii kwa hiyo tunapaswa kuhakikisha kuwa mtoto amepata chanjo ya kuzuia maambukizi ya kifua kikuu na ukoma Ili kuepuka madhara makubwa kwenye jamii nzima.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
๐1 Simulizi za Hadithi Audio ๐2 Kitabu cha Afya ๐3 Kitau cha Fiqh ๐4 Madrasa kiganjani ๐5 kitabu cha Simulizi ๐6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
Kushiriki ngono na mtu aliye na vvu na ukimwi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu kushiriki-ngono-na-mtu-aliye-na-vvu-na-ukimwi
Soma Zaidi...Namna ya kumsafisha mgonjwa kinywa
Posti hii inahusu namna ya kumsafisha mgonjwa kinywa,ni njia unazopaswa kufuata wakati unamsafisha mgonjwa kinywa hasa wale walio mahututi.
Soma Zaidi...HUDUMA YA KWANZA KWA ALIYENGโATWA NA NYUKI
Kungโatwa na nyuki kunaweza kukahitaji huduma ya kwanza kwa haraka kama mgonjwa ana aleji na nyuki.
Soma Zaidi...Matokeo ya maambukizi kwenye milija na ovari
Posti hii inahusu zaidi matokeo ya maambukizi kwenye milija na ovari, ni matokeo apatayo mtu mwenye maambukizi kwenye milija na ovari.
Soma Zaidi...Nini husababisha kibofu cha mkojo kuuma na baadae kutoka damu
Katika post hii utajifunza sababu zinazowezabkuorlekea kibofu kuuma upande mmoja
Soma Zaidi...