Posti hii inahusu zaidi mkojo wa kawaida kwa kila mwanadamu na unavyopaswakuwa, mkojo wa kawaida kwa binadamu huwa na sifa zifuatazo.
Mkojo wa kawaida kwa sababu.
1.Kiwango Cha mkojo
Kwa kawaida kiwango Cha mkojo huwa ni 1000ml to 1500ml hiki kiwango utegemea na vitu vinavyoweza kuingia kwenye mwili kama vimiminika kama ifuayavyo maji ya kunywa, soda ,juice na vinywaji vingine vingi ambayo vinaweza kuongezeka idadi ya maji mwili na pia Kuna kiwango kinachotoka kwa kupitia kwenye mkojo na kutoa jasho kwa hiyo kiwango Cha mkojo ndani ya maasaa ishilini na manne kinapaswa kuwa sawa.
2. Rangi ya mkojo.
Kwa kawaida rangi ya mkojo huwa na rangi ya njano iliyo pauka, hii ndiyo rangi harisi ya mkojo,na mkojo ukiwa na rangi nyingine ambazo hazieleweki kama vile nyekundu kwa sababu ya kuwepo kwa bakteria hayo ni maambukizi kwenye kibofu Cha mkojo kwa hiyo mkojo kawaida yake ni kuwa na rangi ya kahawia.
3. Mkojo kwa kawaida yake huwa ni asidi.
Kwa kawaida mkojo huwa ni asidi na pH yake uanzia 4.5 mpaka 7.5 mkojo kwa hiyo mkojo ukaa katika pH ya namba hiyo na haibadiliki na ikibadilika ni kwa sababu ya maambukizi kwenye kibofu Cha mkojo na sehemu nyingine ambayo uhusika na kuchuja mkojo, lakini mkojo kwa kawaida pH yake huwa ni hiyo hiyo.
4. Vitu vilivyopo kwenye mkojo wa kawaida.
Mkojo wa kawaida huwa na vitu vifuatavyo ambavyo ni pamoja na maji ambayo ya asilimia 96, urea ambayo Ina asilimia 2 na uric asidi ambayo Ina asilimia 2, kwa hiyo tunaona kiwango Cha maji kwenye mkojo ni kikubwa mno, kwa hiyo mkojo wa kawaida unapaswa kuwa na vitu kama hivyo, lakini kuwepo kwa sukari kwenye mkojo hivyo ni kwa sababu ya maambukizi kwenye kibofu Cha mkojo,
5. Uzito wa mkojo.
Mkojo unapaswa kuwa na uzito mkubwa kuliko maji uzito wa maji ni 1000 ml na Uzito wa mkojo ni kuanzia kwenye 1010 mpaka 1025 uzito huu ubadilika kadri ya kiwango Cha maji kinachonywewa, kwa hiyo mkojo una uzito mkubwa kuliko maji.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa watoto
Soma Zaidi...Posti hii inahusu mambo yanayochangia katika kupona kwa kidonda, ni mambo ambayo yapo kwa mgonjwa mwenyewe kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kukabiliana na presha ya kushuka
Soma Zaidi...Swali languKwanini mtu alie ng'atwa na nyoka hairuhusiwi kumpa pombe?
Soma Zaidi...Tunahitaji kuwa na protini mwilini. Kuna baadhi ya makundi ya watu wanahitaji protini zaidi. Je unawajuwa hao ni kina nana?, na je unauwa kazi za protini mwilini na athari za upungufu wake? endelea na makala hii.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mzunguko wa mwezi kwa mwanamke, ni mzunguko ambao huchukua siku ishilini na nane kwa kawaida Ila lla ubadilika kulingana na mtu, Ila ngoja tuangalie siku ishilini na nane tu.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume
Soma Zaidi...