Posti hii inahusu zaidi Aina ya mkojo usiokuwaa wa kawaida uwa na vitu vifuatavyo, ukiona dalili kama hizo wahi mapema hospitalini Ili upatiwe huduma.
Mkojo usiokuwaa wa kawaida.
1.Harufu ya mkojo usiokuwaa wa kawaida huwa na harufu ya Ammonia, hii umaanisha kuwa Kuna maambukizi ya bakteria, pia mkojo ukiwa na harufu ya samaki aliyeoza umaanisha kuwa Kuna usaha kwenye mkojo kitendo hiki Cha kuwa na usaha kwenye mkojo kwa kitaamu huitwa pyuria. Na wakati mwingine mkojo huwa na harufu nzuri hali hii umaanisha kuwa Kuna sukari nyingi kwenye damu hasahasa tatizo hili uwakumba watu wenye kisukari.
2. Uzito wa mkojo,
Mkojo inabidi uwe wa kawaida kwa sababu ya kuwa na vitu ambavyo vinafaa kuwa humor, lakini mkojo ukiwa mzito Ina maana Kuna vitu ambavyo vimeingia na havipaswi kuwa humor, kwa mfano kitendo Cha kuwepo kwa sukari kwenye mkojo, mkojo huwa na uzito kuliko mkojo ambao hauna sukari ndani yake, kitendo Cha mkojo kuwa na sukari kwa kitaalamu huitwa GLYCOSURIA, na mtu mwenye sukari mkojo wake huwa mzito ukiulinganisha na mtu asiyekuwa na sukari.
3. Kitendo Cha kushindwa kutoa mkojo nje uko unasikia unataka kutoa mkojo huo nje kitendo hiki kwa kitaalamu huitwa Urinary retention, hii utokea kwa sababu mbalimbali inawezekana ni kwa sababu ya maambukizi kwenye kibofu Cha mkojo au ni kwa sababu ya catheter kama umewekewa kwa mda mrefu, hii hali ikitokea kwa mtu siyo kawaida na haitajiki kuwepo kwa mtu, kwa hiyo na hii ni mojawapo ya mkojo kuja kwa njia zisizo za kawaida.
4. Mkojo kupita kwenye kibofu Cha mkojo bila taarifa ya mhusika na kutoka nje na mtu kuja kuzuia inakuwa vigumu, hii utokea kwa sababu ya kulegea kwa misuli iliyopo kwenye kibofu Cha mkojo na kitendo hiki kwa kitaamu huitwa Urinary incontinence, na tatizo hili vile vile uwapata wanawake wanapomaliza kujifungua ambapo sehemu ya kuifadhia mkojo ulegea na mkojo kuanza kutoka Ila ugonjwa huu unatibika sana hospitalini na Katika vituo mbalimbali vya afya kwa hiyo watu wasijifiche wajitokeze wakatibiwe.
5. Kwa hiyo tunaona mkojo ambao sio wa kawaida tukiangalia rangi, namna ya kutoka,uzito wake kwahiyo inatupasa kutambua ni mkojo upi na usio wa kawaida na kuchukua matibabu.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi umuhimu wa pua kama mojawapo ya mlango wa fahamu.pua ni mlango wa fahamu ambao uhusika na kupumua.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi au inapinga Imani potofu ambayo utokea kwenye jamii kwamba unaweza kuambukizwa Ukimwi kwa vitu ambavyo haviusiani na namna mtu anavyoweza kuambukizwa Ukimwi,Ila mapendekezo kuwa watu wanapaswa kujua kuwa huwezi kuambukizwa Ukimwi k
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa tatizo na kuishiwa damu, kuishiwa damu ni tatizo linolowakumba watu wengi na kusababisha matatizo mengi
Soma Zaidi...Swali languKwanini mtu alie ng'atwa na nyoka hairuhusiwi kumpa pombe?
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea mambo ambayo hayawezi kuambukiza UKIMWI
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi jinsi moyo unavyosukuma damu, moyo ni ogani ambayo usukuma damu kwenye sehemu mbalimbali za mwili.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida ya chanjo, tunajua wazi kuwa chanjo Ina faida kubwa kwenye mwili wa binadamu na vile vile kwenye jamii kama tutakavyoona hapo chini.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kukabiliana na presha ya kupanda
Soma Zaidi...Posti hii inahusu njia na namna ya kumhudumia aliyeingiwa na nyoka. Nyoka ni kiumbe ambacho Kina sumu kali na mtu akifinywa na nyoka asipohudumiwa anaweza kupata ulemavu au kupoteza maisha
Soma Zaidi...