Katika course hii utakwenda kujifundisha jinsi ya lutengeneza blog kutoka mwanzo hadi mwisho.
Hii ni course mpya inayotarajiwa kufundishwa kwenye mafunzo yetu. Lengo la course hii ni kukufundisha jinsi ya kutengeneza blog yako kwa kutumia PHP, HTML, CSS, SQL na MySQL databae.
Course hii ni rahisi na imetokana na mafunzo ya php level 3 pamoja na mafunzo ya database level 1. Kkabla hujaianza course hii hakikisha umepata mafunzo ya HTML, PHP na SQL kutoka kwenye mfaunzo yetu ya ICT.
Course hii itajikita kwenye mambo kadha kama:-
Course hii itapatikana kwa njia ya text pia utaweza kuangaia video moja kwa moja kwenye channel yetu ya youtube tehama-tz
Mahitaji ya kujifunzia
Utahitajika kuwa na kifaa kama simu ama komputa ambayo imesha andaliwa kwa ajili ya kutumia php na database. Tunashauri utumie moja katika software hizi zifuatazo:
1. Kwa watumiaji wa Simu
Kama wewe unatumia simu basi fuata maelekezo haya ili kuweza kuandaa simu yako kwa ajili ya mafunzo. Hapa nitakuletea list za App ambazo inatakiwa uwe nazo. List">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili uatakwenda kujifunza jinsi ya kutumia htaccess ili kubadili muonekano wa link ya website ama blog ili kuifanya iwe rafiki zaidi.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza aina kuu 3 za variable katika PHP mabzo ni local variable, global variable na static variable.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kwenye database kwa kutumia PDO.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu syntax za PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutuma email ambayo ina HTML, pia utajifunza kutuma email yenye picha na attachment nyinginezo kama pdf
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kutoka kwenye database kwa kutumia PHP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ambavyo unaweza kutengeneza blog ambayo utaweza ku upload faili na kuandika makala kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend kujifunza kuhusu static property na jnsi inavyotumika
Soma Zaidi...Katika somo hii utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya CRUDE operation kwa kutumia PDO. crude operation inahusu create, read, update. Delete.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuandika function za PHP kama require() na iclude()
Soma Zaidi...