Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu access modifier ili kuweza kuthibiti nama ya kuzitumia properties kwenye class.
Access modifier zipo katika makundi makuu matatu ambayo ni:-
Public hii inaweza kutumiwa popote, protected hii hutumiwa popote ndani ya class husika ama class iliyotokana na class husika, private, hii hutumka ndani ya class husika tu. ili uelewa hapa angalia mfano huu
<?php
class gari {
public $jina;
protected $speed;
private $transition;
}
$toyota = new gari();
$toyota->jina = 'Toyota avalon'; // OK
echo $toyota->jina;
$speed = new gari();
$speed->speed = '180k/h'; // ERROR
echo $speed->speed;
$transition = new gari();
$transition->transition = 'manual'; // ERROR
echo $transition->transition;
?>
Code hizi zina error kwenye speed na transition ni kwa sababu hizo hapo tumezitumia nje ya class gari. Sasa kwa mujibu wa access modifire ili tuweze kui access nje a class lazima iwe public kama ilivyo hapo kwa jina. Lakini speed na transition sio public hivyo hatuwezi kuzitumia nje ya clas">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwend akujifunz ajinsi ya kuandika query ndani ya ORM. Hii inakupa uhuru wa kufanya kileunachotaka bila ya kuathiri usalama wa project
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend kujifunza kuhusu static property na jnsi inavyotumika
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku update na kufuta data kwenye database kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...Katika soo hili utakwenda kujifunza umuhmu wa kutumia PDO kwenye PHP kwa ajili ya kutumia database.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kuhifunza kuhusu Custom header na aina zake
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwendakujifunza concept ya namespaces na jinsi inavyosaidi kwenye OOP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu http redirect header
Soma Zaidi...Katika somo hili unakwenda kujifunza jinsi y kutengeneza database na kuungansha kwenye blog yetu.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi jinsi ya ku edit ama ku update data na kuzifuta kwenye database kwa kutumia PDO
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia database ya sqlite kwa kutumia PHP.
Soma Zaidi...