Post hii inahusu zaidi dalili za mtu Mwenye tatizo la mkojo kushindwa kutoka kwenye kibofu Cha mkojo.ni dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye tatizo la mkojo kushindwa kutoka kwenye kibofu Cha mkojo.
Dalili za Mtu mwenye tatizo la mkojo kushindwa kutoka kwenye kibofu Cha mkojo.
1. Kushindwa kukojoa kwa massa nane mpaka Kumi na mtu akiwa anakunywa vinywaji vya kawaida.
Ukiona kuwa mtu anashindwa kukojoa kwa masaa nane mpaka Kumi na ukizingatia mtu anakuwa anakunywa vinywaji vya kawaida kama vile maji, juice, uji na mambo mengine yanayonyweka lakini mtu huyo hakojoi ndani ya maasaa nane mpaka Kumi anakuwa na shida kwenye kibofu Cha mkojo.
Kwa hiyo mtu huyo anapaswa kuwekewa kwenye uangalizi mkubwa Ili kuweza kuangalia shida Iko wapi na kumsaidia Ili aweze kutoa mkojo kwenye kibofu na kuendelea na maisha yake ya kama kawaida.na shida hii inaweza kutatuliwa kama kawaida.
2. Kuvimba kwa kibofu Cha mkojo mpaka hata ukimgusa mgonjwa sehemu ya chini ya tumbo unaweza kuhisi kibofu kama kimetuna.
Hali hii utokea pale ambapo mkojo mwingi huwa kwenye kibofu na uendelee kujikusanya ndani yake na hauwezi kutoka na baadae uendelea kujikusanya ndani ya kibofu Cha mkojo na hatimaye kibofu kuvimba na mtu akikigusa anaweza kusikia jinsi kulivyovimba na ukimgusa mgonjwa abatumia na kuhangaika sana kwa hiyo tunapaswa kuhakikisha kuwa mgonjwa anapona kabisa kwa kumpeleka mgonjwa hospitalini na kupata huduma muhimu inayostahili.
3. Magonjwa anakuwa na hamu ya kupitisha mkojo makini hawezi kufanya hivyo.
Hali hii utokea kwa mgonjwa pale anapokuwa na hamu ya kupitisha mkojo lakini hawezi kabisa na dalili zozote za kuwepo kwa mkojo kwenye kibofu zipo, hali hii utokea kwa sababu ya maambukizi kwenye kibofu Cha mkojo ambapo mkojo unakosa sehemu ya kupitia kwa hiyo wakati mwingine mgonjwa huwa na maumivu makali, kwa hiyo tukiona kitendo Cha namna hii mgonjwa anapaswa kumpelekwa hospitalini kwa matibabu zaidi Ili aweze kuruhusu mkojo kupita na kuendelea na maisha ya kila siku.
4.Mgonjwa anakuwa hatulii, anakuwa anasikia maumivu makali sana kwenye kibofu Cha mkojo.
Katika kipindi hiki mgonjwa anakuwa hatulii kwa sababu anatafuta njia yoyote Ili aweze kupitisha mkojo kwa hiyo kutulia ni shida, na mgonjwa anakuwa na maumivu makali kwenye kibofu Cha mkojo kwa sababu ya mkojo unazidi kujaa kwenye kibofu na misuli unaendelea kujaa na kuleta maumivu makali kwa mgonjwa hali inayofanya mgonjwa kusikia maumivu makali sana . Kwa hiyo mgonjwa anapaswa kumpelekwa hospitalini kwa matibabu zaidi kwa sababu ya hali ngumu aliyonayo.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu magonjwa ya makende kushindwa t, hiki ni tatizo na huleta madhara
Soma Zaidi...Upungufu wa maji mwilini hutokea unapotumia au kupoteza Majimaji mengi zaidi ya unayonywa, na mwili wako hauna maji ya kutosha na Majimaji mengine ya kufanya kazi zake za kawaida. Usipochukua nafasi ya Vimiminika vilivyopotea, utapungukiwa na maji.
Soma Zaidi...Mapacha walioungana ni watoto wawili wanaozaliwa wakiwa wameunganishwa kimwili. Mapacha walioungana hukua wakati kiinitete cha mapema kinapojitenga na kuunda watu wawili. Ingawa vijusi viwili vitakua kutoka kwa kiinitete hiki, wataendelea kushikamana mar
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kaswende wakati wa ujauzito, kaswende inaweza kukaa kwa mtu zaidi ya miaka mingi bila kuleta madhara ya moja kwa moja lakini kadiri ya siku zinavyokwenda madhara utokea hasa wakati wa ujauzito, madhara hayo umwadhiri mtot
Soma Zaidi...Makala hii itaeleza dalili za ukimwi, dalili za VVU, magonjwa nyemelezi na matumizi ya ARV
Soma Zaidi...Kisonono husababishwa na bakteria. Bakteria ya kisonono mara nyingi hupitishwa kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine wakati wa kujamiiana, ikiwa ni pamoja na kujamiiana kwa mdomo, mkundu au uke.
Soma Zaidi...Fangasi na Aina zao Fangasi wa kwenye kucha Fangasi wa Mapunye Fangasi aina ya candida Fangasi wa Mdomoni na kooni Fangasi wa kwenye uke Fangasi wanaoshambulia mfumo wa damu na ogran kama moyo, figo n.
Soma Zaidi...Je unasumbuliwa na maumivuvya tumbo chini ya kitovu upande wa kushito. Post hii itakuletea sababu za maukivubhayo na nini ufanye.
Soma Zaidi...