picha
NJIA ZA KUFANYA UKIWA NA TATIZO LA UTI WA MGONGO.

Posti hii inahusu zaidi Njia za kufanya Ili kupunguza maumivu ya tatizo la uti wa mgongo, ni njia unazopaswa kufanya...

picha
DALILI ZA MAUMIVU YA UTI WA MGONGO

Posti hii inahusu zaidi dalili za uti wa mgongo ni dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye tatizo la uti wa...

picha
SABABU ZA MAUMIVU YA UTI WA MGONGO

Posti hii inahusu zaidi sababu za uti wa mgongo, ni ugonjwa unaotokana na kuwa na maumivu kwenye uti wa mgongo,...

picha
UGONJWA WA UKOSEFU WA MKOJO

Posti hii inaonyesha namna ya kujizuia,Mambo ya Hatari,na na Mambo yanayopelekea Ugonjwa wa ukosefu wa mkojo

picha
NAMNA YA KUZUIA UGONJWA WA INI

Posti hii inaelezea namna na jinsi ya kujikinga au kuzuia Ugonjwa wa ini.

picha
DALILI ZA MADHARA YA INI

Ini Ni kiungo kikubwa Sana mwili na hutumika kuondoa sumu mwili ambayo hujulikana Kama detoxification

picha
DALILI ZA MADHARA YA FIGO

Posti hii inahusu dalili za figo.figo husawazisha maji mwilini pamoja na kuchuja mkojo.

picha
HUDUMA YA KWANZA KWA MWENYE JERAHA LINALOTOA DAMU

Posti inahusu huduma ya kwanza kwa mwenye jeraha linalotoa damu.huduma ya kwanza Ni kumsaidia mtu alie pata jeraha au ajali...

picha
DALILI ZA FANGASI KWENYE MAPAFU

Posti hii inaonyesha dalili za fangasi kwenye mapafu.

picha
NINI KINASABABISHA KIZUNGUZUNGU?

Posti hii inaelezea kuhusiana na dalili za kizunguzungu zinazotekea katika mwili wa binadamu

picha
FAIDA ZA UZAZI WA MPANGO

Posti hii inazungumzia Faida za Uzazi wa mpango kwa watoto, mama, wanandoa, na jamii au JUMUIYA.

picha
KONDOMU ZA KIKE

Posti hii inaonyesha Faida na hasara za Kondomu za kike

picha
FAIDA NA HASARA ZA KUFUNGA KIZAZI KWA WANAWAKE.

Posti hii inazungumzia kuhusiana na Kufunga kizazi kwa wanawake.

picha
FAIDA NA HASARA ZA KUFUNGA KIZAZI KWA WANAUME

Posti hii inazungumzia Faida, hasara, na madhara ya Kufunga kizazi kwa Wanaume.

picha
DALILI ZA TEZI DUME AMBAYO HAZIJASHUKA (CRYPTORCHIDISM)

Tezi dume ambayo haijashuka si ya kawaida kwa ujumla, lakini ni ya kawaida kwa wavulana waliozaliwa kabla ya wakati.na muda...

picha
DALILI ZA UGONJWA WA UVIMBE NA MASHAMBULIZI YA BACTERIA KWENYE KORODANI

Posti hii inaonyesha dalili,Sababu,na namna ya kujikinga na ugonjwa wa uvimbe na mashambulizi ya bacteria kwenye korodani ambao kitaalamu hujulikana...

picha
SABABU NA DALILI ZA UGONJWA WA NJIA YA MKOJO.

Ujue ugonjwa wa Njia ya mkojo unaoitwa urethra stricture. Ambapo kwenye hii posti inaonyesha dalili na Sababu zinazopelekea Njia ya...

picha
DALILI ZA UGONJWA WA KIPINDUPINDU

Post hii inahusu zaidi juu ya ugonjwa wa kipindupindu.Ni dalili zinzojitokeza kwa magonjwa wa kipindupindu.

picha
NAMNA YA KUZUIA UGONJWA WA KIPINDUPINDU,

Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kipindupindu ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria kwa kitaalamu huitwa vibrio cholera.

picha
DALILI ZA MTU MWENYE UGONJWA WA KUISHIWA DAMU

Posti hii inahusu zaidi dalili za mtu mwenye ugonjwa wa kupungukiwadamu, ni dalili zinazoonekana kwa mtu Mwenye tatizo la upungufu...

picha
ZIJUE SABABU ZA KUPUNGUKIWA DAMU MWILINI

Posti hii inahusu zaidi tatizo la kupungukiwa damu mwilini, ni ugonjwa unaotokana sana hasa kwa watoto wadogo chini ya miaka...

picha
SABABU ZA KUSHUKA SURAT AL ZILZALAH

surat Zalzalah ni sura ya 99 katika mpangilio wa Quran, na ina aya 8. Sura hii imeteremshwa Madina ila pia...

picha
MAISHA YA MTUME MUHAMMAD S.A.W KABLA YA UTUME

Sira na historia ya Mtume Muhammad s.a.w , sehemu ya 19. Hapa utajifunza maisha ya Mtume kabla ya utume.

picha
KUJENGWA UPYA AL KABAH BAADA YA KUWA NA MIPASUKO.

Sira na historia ya Mtume Muhammad s.a.w sehemu ya 18. Hapa utajifunza kuhusu tukio la kujengwa upya kwa al kaaba...

Page 186 of 229

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.