Post hii inahusu zaidi Imani potofu juu ya chanjo kwa watoto na akina Mama, ni baadhi ya Imani waliyonayo watu juu ya chanjo.
Imani potofu juu ya chanjo.
1. chanjo usababisha wanawake wengi kushindwa kusukuma wakati wa kujifungua.hii sio kweli kwamba chanjo wanazozipata wanawake ndizi uwafanye wafannyiwe upasuaji Bali Kuna vitu ambavyo ufanya wanawake wengi wajifungue kwa upasuaji kama vile mtoto kuwa na kilo nyingi ambazo ushindwa kupita kwenye via vya uzazi vya Mama na Mama lazima afanyiwe upasuaji na wakati mwingine mama ushindwa kufanya mazoezi kabla ya kujifungua na sababu ni nyingi kwa hiyo chanjo sio sababu ya Mama kushindwa kusukuma wakati wa kujifungua.
2.Chanjo kwa wasichana usababisha kuharibika kwa kizazi.hali hii siyo ya ukweli kwamba sindano au chanjo wanazochomwa wasichana wanapokuwa na miaka ya kuelekea kubeba Mimba usababisha kizazi kuharibika, hali hii si kweli Bali chanjo hizi uwasaidia akina dada wakibeba mimba watoto wao wasipatwe na magonjwa nyemelezi ambayo uleta ulemavu pia ni kwa Sababu ya kutunza afya zao wakiwa VA Mimba kwa hiyo watu watoe Imani potofu juu ya chanjo Bali chanjo ina faida sana.
3. Chanjo usababisha watoto kuwa na Tabia za ajabu kama vile kutisikia wakubwa na utundu unaopita mipaka. Kuna wazazi wengine wanaamini kuwa watoto kuwa na utundu wa kila siku ni kwa Sababu ya chanjo hasa za matone ndo maana utasikia baadhi ya kundi la vijana wanaitwa kizazi Cha matone hii ni kwa sababu wakizaliwa kipindi ambacho watoto walianza kutumia matone kwa hiyo wazazi wanapaswa kuelekea kuwa watoto wanakuwa kulingana na wakati na Mazingira na utundu kupita kiasi ni kipindi Cha mtoto Cha malezi .
4. Chanjo ni mpango wa mzungu Ili kuharibu kizazi Cha mwafrika, hii kauli sivyo Bali ni mpango wa mzungu Ili kutawala Afrika, kwa hiyo si maana ya kweli chanjo zimeletwa Ili zisaidie watu sio kuwakomoa kwa hiyo tujiamini sisi pamojan na jamii nzima Ili tuweze kujikomboa katika hali zote.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya fati na mafuta
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi chanjo ya pentavalent ni aina ya chanjo ambayo inazuia Magonjwa matano ambayo ni kifadulo, pepopunda, homa ya ini na magonjwa yanayohusiana na upumuaji.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu mambo yanayochangia katika kupona kwa kidonda, ni mambo ambayo yapo kwa mgonjwa mwenyewe kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia za kutumia unapotaka kumwosha Mgonjwa vidonda, ni njia muhimu ambazo ni lazima kuzipitia unapotaka kumwosha Mgonjwa vidonda.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na upungufu wa maji mwilini
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi au inapinga Imani potofu ambayo utokea kwenye jamii kwamba unaweza kuambukizwa Ukimwi kwa vitu ambavyo haviusiani na namna mtu anavyoweza kuambukizwa Ukimwi,Ila mapendekezo kuwa watu wanapaswa kujua kuwa huwezi kuambukizwa Ukimwi k
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na presha ya kupanda
Soma Zaidi...