Je ni zipi nguzo za uislamu, na ni ngapi nguzo za uislamu?

Post hii itakujuza maana ya uislamu na nguzo zake.

Uislamu ni nini? 

Uislamu unetokana na neno la kiarabu silm kwa maana ya kujisalimisha.  Au neno salam kwa maana ya Amani. 

 

Kilugha uislamu ni amani inayopatikana baada ya kujisalimisha kwa Allah. 

 

Kisheria uislamu ni kunyenyekea kwa Allah na kuyafuata yote ambayokujanayo Mtume Muhammad  s.a.w.

 

Nguzo za uislamu: 

Uislamu umengwa kwa nguzo kuu tano ambazo hi; -

1. Shahada mbili

2.Kusimamisha swala

3. Kutoa zaka

4. Kufunga ramadhan

5 Kuhiji kwa mwenye kuweza. Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/05/12/Thursday - 03:16:03 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 741


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-