Post hii inahusu zaidi mkojo kushindwa kutoka kwenye kibofu na kwa kitaalamu huitwa retention of urine.
Sababu za mkojo kushindwa kutoka kwenye kibofu.
1.kuharibika kwa tezi za kibofu Cha mkojo, wakati mwingine kama Kuna uhary wowote kwenye tezi za kibofu mkojo ushindwa kutoka kwenye kibofu Cha mkojo ingawa mtu anasikia hamu ya kutoa mkojo lakini hawezi, kltezi za kibofu Cha mkojo kwa kitaamu huitwa prostate gland. Kwa hiyo kama tatizo hilo limetokea mgonjwa anapaswa kumpelekea hospitalini kwa sababu mkojo kubaki ndani ni hatari.
2. Pengine mkojo hushindwa kutoka kwenye kibofu Cha mkojo kwa sababu ya kufanyiwa upasuaji kwa sababu wakati mwingine Kuna sehemu inaweza kuzibua kwa bahati mbaya au pengine kwa sababu ya kuzoea kutumia milija wa kupitisha mkojo, mtu akitaka kutumia njia ya kawaida mkojo unaweza kushindwa kutoka kwanza lakini kwa sababu ya kuzoea mkojo unaweza kuanza kupita tena baadae kwa mtu Mwenye tatizo hili Inabidi kufuata masharti ya waganga na wauguzi.na ataweza kuelekea kwenye hali ya kawaida.
3. Kushindwa kufanya kazi kwa Neva mbalimbali ambazo uhusika na mkojo.
Nevu mbalimbali zikishindwa kufanya kazi yake kuu ya kuamuru mkojo utokea kwa wakati wake mkojo unaweza kubaki kwa Sababu tunajua kuwa mwilini kwa binadamu Kuna nevu na nevu hizo ndo zinahakikisha kila kitu mwilini linaenda sawa kwa hiyo kama nevu hazifanyi kazi na mkojo utashindwa kutoka kwenye kibofu Cha mkojo mpaka kazi ya nevu ikamilike.
4. Kuharibika kwa kibofu Cha mkojo.
Wakati mwingine mkojo ukosa kutoka kwenye kibofu Cha mkojo kwa sababu ya kuharibika kwa sehemu mbalimbali za kibofu Cha mkojo hali hii utokea kwa sababu ya maambukizi kwenye kibofu Cha mkojo au labda pengine ni kwa sababu ya ajali kwenye kibofu Cha mkojo hali hii usababisha mkojo kushindwa kutoka kwenye kibofu Cha mkojo, kwa hiyo tunapaswa kuhakikisha kuwa mkojo unatoka kwenye kibofu maana ukibaki ni hatari sana.
5. Pengine mkojo hushindwa kutoka kwenye kibofu Cha mkojo kwa sababu ya baadhi ya madawa yanayotumiwa na mhusika kama vile atropine na antidepressants, hizi dawa zikileta matokeo kama haya ni lazima mgonjwa apelekwe hospitali mapema Ili kusaidia mkojo uweza kutoka kwenye kibofu Cha mkojo.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi Dalili zinazoweza kujitokeza baada ya sehemu ya kupeleka taarifa kwenye ubongo imearibika, kwa hiyo mambo yafuatayo yakijitokeza utajua wazi kuwa kuna matatizo kwenye mfumo wa kupeleka taarifa kwenye ubongo.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na Magonjwa mbalimbali ambayo watoto chini ya miaka wanaweza kuyapata kiurahi.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili la jeraha la kawaida kwenye ubongo, jeraha la kawaida utokea kwa sababu mbalimbali kama vile kupata ajali na kugongwa na kitu chochote kichwani,
Soma Zaidi...Homa ya ini yenye sumu ni kuvimba kwa ini lako kutokana na kuathiriwa na vitu fulani ambavyo umeathiriwa navyo. Homa ya ini yenye sumu inaweza kusababishwa na pombe, kemikali, dawa za kulevya au viongeza vya lishe.
Soma Zaidi...Hapa utajifunza sababu za kuwepo na maumovu ya tumbe kitomvuni.
Soma Zaidi...Coma ni hali ya kupoteza fahamu kwa muda mrefu ambayo inaweza kusababishwa na matatizo mbalimbali Jeraha la kichwa , Kiharusi, Tumor ya ubongo, ulevi wa dawa za kulevya au pombe, au hata ugonjwa wa msingi, kama vile Kisukari au maambukizi.
Soma Zaidi...Polio ni ugonjwa wa virusi unaoambukiza ambao katika hali mbaya zaidi husababisha kupooza, kupumua kwa shida na wakati mwingine kifo.
Soma Zaidi...Poliomyelitis ni kuvimba kwa suala la kijivu la uti wa mgongo na wakati mwingine sehemu ya chini ya ubongo
Soma Zaidi...posti hii inazungumzia kuhusiana na Ugonjwa wa kifua kikuu kwa watoto chini ya miaka mitano. Kifua kikuu ni ugonjwa sugu wa kuambukiza na anuwai ya magonjwa ya kliniki yanayosababishwa na Mycobacterium tuberculosis complex.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Magonjwa ya jicho,ni Magonjwa ambayo ushambulia sehemu mbalimbali za jicho kwa mfano kwenye retina,kuaribu mishipa ya retina ,macho kuwa makavu na pia mtoto wa jicho, hali hii ya magonjwa ya macho Usababisha madhara mbalimbali kama
Soma Zaidi...