Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
- Funga ya mwezi wa Ramadhani ni nguzo ya nne katika Uislamu.
- Kufunga mwezi wa Ramadhani ni utambulisho wa Uislamu wa mtu.
- Kufunga mwezi wa Ramadhani ni amri ya Mwenyezi Mungu (s.w).
Rejea Qur’an (2:183).
- Kufunga mwezi wa Ramadhani ni utambulisho wa Ucha-Mungu wa mtu.
- Kutofunga mwezi wa Ramadhani makusudi hupelekea kukosa msamaha.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Quran imegawanya mirathi katika haki. Mgawanyo huu ndio unaotakiwa utumike na si vinhinevyo.
Soma Zaidi...Katika post hii utakwenda kujifunza mambo ambayo ni haramu kwa mwanamke aliye na hedhi na nifasi
Soma Zaidi...Hapabutajifunza endapp mwanamke anahitaji kuachwa ni nini anatakiwa afanye.
Soma Zaidi...Lengo la funga ni kuwa mchamungu sasa ni kwa nini wafungaji hawalifikii lengo hili na kuwa wachamungu.
Soma Zaidi...