Post hii inahusu zaidi rangi isiyo ya kawaida kwenye mkojo, kawaida mkojo huwa na rangi ya kahawia Ila ukiona rangi zifuatazo Kuna shida kwenye mkojo.
Rangi ya mkojo isiyo ya kawaida.
1. Mkojo ambao una damu ndani yake, hii ni rangi ambayo siyo ya kawaida kwenye mkojo, hali hii utokea ambapo mkojo uwa na rangi nyekundu ambayo hapaswi kuwa rangi ya mkojo.
2. Mkojo kuwa na damu ndani yake uwa ni ishara ya vitu vifuatavyo kama vili maambukizi kwenye figo au pengine ni kwa sababu ya kichocho maana wadudu wanaoambukiza kichocho wakiwa wengi kwenye kibofu Cha mkojo utafuna sehemu za kibofu Cha mkojo na kusababisha kutoa damu kwenye mkojo na kusababisha madhara mengine makubwa kwenye mwili wa binadamu.
3.vile vile hali ya kuwepo kwa damu kwenye mkojo usababishwa na Maambukizi kwenye kibofu Cha mkojo na pengine maambukizi kwenye urethra kama Kuna maambukizi kwenye sehemu hizo wadudu utafuna sehemu mbalimbali za kwenye kibofu Cha mkojo na kusababisha maambukizi ambayo usababisha mkojo kuwa na damu.
4.pengine rangi ya mkojo uwa nyeusi. Hii ni kwa sababu ya kuwepo kwa sehemu mbalimbali za bile (nyongo), kwa hiyo kama Kuna bile kwenye mkojo, mkojo huwa na rangi nyeusi,kwa hiyo hii si rangi rasmi ya mkojo kwa hiyo kiwango Cha bili pigment kwenye mkojo kinapaswa kuwa Cha kawaida na kufanya rangi ya mkojo kuwa kawaida kwa hiyo rangi nyeusi siyo rangi ya mkojo.
5.Madawa mbalimbali usababisha rangi ya mkojo kubadilika sana , kwa mfano wagonjwa wanaotumia dawa ya rifampicin mkojo wao huwa mwekundu na wakati mwingine huwa wa orange hii ni kwa sababu ya Aina ya dawa kwa hiyo watu wanaotumia madawa ya Aina hii wanapaswa kunywa sana maji ili kufanya mkojo wao uwe na rangi ya kahawia Bali sio rangi nyekundu au rangi ya orange.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu Aina za kuungua, kuungua ni Hali ya kubabuka kwa ngozi ya mwili na kusababisha madhara mbalimbali
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi umuhimu wa uterusi, ni mfuko unayosaidia kumtunza mtoto akiwa tumboni mwa mama yake.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujikinga na kisukari
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu Mambo yanayopunguza nguvu za kiume
Soma Zaidi...Makala hii itakwenda kukufundisha kazi 5 za maafu mwilimi. Wengi tunajuwa tu kuwa mapafu yanafanya kazi ya kupumuwa. ila si hivyo tu yapo mengi zaidi.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya madini mwilini
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea utaratibu wa maisha kwa aliye athirika
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi jinsi moyo unavyosukuma damu, moyo ni ogani ambayo usukuma damu kwenye sehemu mbalimbali za mwili.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida za kusafisha vidonda, ni faida ambazo Mgonjwa mwenye vidonge uzipata kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za mdomo kuwa mchungu
Soma Zaidi...