Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuandika function yako mwenyewe yaani user defined function
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma muda kama saa na tarehe kwa kutumia PHP
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu function kwenye PHP na jinsi ya kuweza kuzitumia
Katika somo hili utakwenda kujifunza aina za data ambazo hutumika kwenye PHP
Katika somo hili utakwenda kujifunza kujusu PHP variable, maana yake na sheria za uandishi wa variable
Katika somo hili utajifunza kuhusu syntax za PHP
Katika somo hili utakwenda kujifunza maana ya PHP na jinsi inavyofanya kazi
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku host website yako bila malipo
Katika somo hili tutakwenda kutengeneza website yetu kutoka mwanzo hadi mwisho
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza website hatuwa kwa hatuwa
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kugawanya ukurasa wa HTML katika column
Katika somo hili utajifunza kuhusu sehemu kuu za faili la HTML
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuweka style mbalimbali kwenye ukurasa wa html
Katika somo hili utakwenda kijifunza kuhusu HTML attributes na jinsi ambavyo zinafanya kazi
Katika somo hili utakwenda kuona jinsi ya kuzitumia tag balimbali za html
Katika somo hili tunakwenda kugawanya tag za HTML, pia nitakwenda kukuletea tag 70 za HTML
Katika somo hili utajifunza sehemu muhimu katika faili la HTML kama vile tag, attribute na element
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuweka menyu kwenye faili la html na kuweka rangi ya background. Pia utajifunza...
Katika somo hili utajifunza Kuweka picha Kuweka rangi Kuweka linki Kupangilia position na alignment ya maandishi Kuongeza ukubwa wa herufi...
Katka somo hi utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia tag za html ili kupangilia muonekano wa maudhui
Katika somo hili nitakuletea orodhabya tag 25 za html ambazo hugumiwa katikabuandishi.
Katika somo somo hili utajifunza maana ya code, tag na mpangilio wa faili la HTML
Katika somo hili utajifunza maana ya HTML na jinsi inavyofanya kazi
Endapo tezi dume haitatibiwa ama itachlewa kutibiwa basi mtu anaweza kupata madhara. katika post hii utakwenda kuyajuwa madhara ya tezi...
Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.