PHP - somo la 14: Jinsi ya kutengeneza database kwa kutumia PHP
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia PHP kutengeneza database kwenye mysql database.
Katika somo hili utajifunza jinsi yakutengeneza database kwa kutumia PHP.
Katika somo la pili tiliona namna ya kuunganisha databe na PHP. Katika somo hili tutajifunza jinsi ya kutengeneza database kwa kutumia php. Somo hili linategemea sana somo lililotangulia. hapa tutakwenda kutengeneza database ambayo tutaiita mafunzo. unaweza pia kutengeneza kulingana na unavyotaka wewe.
Ili uweze kutengeneza database kwa kutumia PHP kwana unatakiwa ujuwe jinsi ya ku open connection kwenye server na kisha kuunganisha connection hiyo na PHP kama tulivyojifunza somo lililotangaulia. baada ya kukonnect server sasa tutakwenda kutengeneza database.
kama ulishiriki vyema somo lililopita utakuwa umeelewa nama ya kuuganisha php na server.
$servername = "localhost";
$username = "root";
$password = "";
// kufanya connection
$conn = mysqli_connect($servername, $username, $password);
// kuangalia connection
if (!$conn) {
die("You are not connected: " . mysqli_connect_error());
}
echo "You are connected";
?>
Kama umeshafika hapo kuna kazi ya ziada unatakiwa uifanya. Kwanza ni kuandaa variable kwa ajili ya kutengeneza database. Pia unatakiwa ujuwe SQL command ya kutengeneza database. rejea mafunzo ya database. Kama mambo yapo kama hivyo wacha nikujuze tena kuwa tunatengeneza database kwenye MySQL kwa kutumia SQL kwa “CREATE DATABASE
” kisha utahiyajika kutaja jina la database unalotaka kutengeneza. Mfano tunataka kutengeneza database inayoitwa mafunzo. hivyo tutasema CREATE DATABASE mafunzo
Baada ya hapo unatakiwa utengeneze sasa PHP variable kwa ajili ya kuwakilisha CREATE DATABASE mafunzo Kwa mara nyingi variable inayotumika ni $sql ila unaweza tumia yeyote ile unayotaka mfan ukasema $chai. Kama taya...
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 web hosting 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 Simulizi za Hadithi Audio 👉4 kitabu cha Simulizi 👉5 Kitau cha Fiqh 👉6 Kitabu cha Afya
Post zinazofanana:
PHP BLOG - somo la 5: Jinsi ya kuandika code za PHP kwa ajili ya kuweka post kwenye blog
Katika ukurasa huu utakwenda kujifunz jinsi ya kuandika code za php kwa ajili ya kutuma post yetu kwenye blog.
Soma Zaidi...PHP - somo la 35: Jinsi ya ku upload mafaili kwa kutumia PHP
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku upload mafaili kwenye server kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...PHP BLOG - somo la 9: Jinsi ya ku edit poost
Katika somo hil utawenda kujifunza jinsi ya ku edit post kwenye databse
Soma Zaidi...PHP somo la 49: utangulizi wa Object Oriented Programming katika PHP
Huu ni mwendelezo wa mafunzo ya PHP na hapa tunaaza rasmi advanced PHP. tutakwenda kuingia ndani zaidi kwenye PHP. Ni vyema kabla ya kuanza course hii ya advanced PHP uwe una uelewa wa kutosha kuhusu mafunzo yetu ya PHP.
Soma Zaidi...PHP - somo la 18: Jinsi ya kusoma data kutoka kwenye database kwa kutumia PHP
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kutoka kwenye database kwa kutumia PHP.
Soma Zaidi...PHP BLOG - somo la 3: Jinsi ya kutengeneza table kwenye databse kwa ajili ya blog
Hapa utajifunza jinsi ya kutengeneza table ambayo tutaitumia kwenye blog yetu
Soma Zaidi...