Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuingiza data kwenye dtabase kwa kutumia PHP.
KUINGIZA DATA KWENYE DATABSE
Kwa kuwa katika somo lililotangulia tmezifuta databse ze ztu sasa nitakuba code hapa za SQL ili uweze kutengeneza database na table kisha tutaendelea somo kwa kuingiza data kwenye hiyo databse yako.
tengeneza databse iite hotel kisha itengenezee table kwa kupest code hizi hapo chini kwenye uwanja wa SQL. (Rejea mafunzo ya database jinsi ya kutengeneza table)
CREATE TABLE IF NOT EXISTS `menu` (
`id` int(100) NOT NULL,
`name` varchar(255) NOT NULL,
`description` varchar(255) NOT NULL,
`price` int(100) NOT NULL
) ENGINE=InnoDB DEFAULT CHARSET=utf8mb4;
MAANDALIZI:
kama tulivyoona hapo mwanzoni kwanza unatakiwa u connect database. Na kuandaa variable zote pamoja na SQL kwa ajili ya kuingiza data. Kama tulivyojifunza katika mafunzo ya databse. tunatumia INSERT INTO ili kuingiza taarifa kwenye databse. (tafadhali rejea mafunzo ya database namna ya kuingiza data kwenye dable). Hivyo $sql variable itakwenda kuwakilisaha SQL statemen t ya kuingiza datada. Hakikisha unahusisha na jina la databse. mfano INSERT INTO menu.
jambo linguine unatakiwa ukumbuke majina ya column za table yako. kwani hizo data unazokwenda kuziweka zinaingia kwenye column. table yetu ya menu kama inavyoonekana hapo juu, ina column 4 ambazo ni, id, name, description na price. Yaani ni kuwa tnanakwenda kuweka values kwenye hizo column 4. VALUE ni kile unachokwenda kuweka. Mfano name ukiweka ugali, inamaana value hapo ni ugali. (tafadhali rejea mafunzo ya database jinsi ya kuingiza data).
Kwa mfano tunataka kuweka menu yenye id 1, name Ugali, description iwe karibu ugali mtamu, na price iwe 1500 hivyo SQL variable itakuwa hivi
$sql = "INSERT INTO menu (id, name, description, price)
VALUES ('1', 'ugali', 'pata ugali mtamu', 1500)";
Baada ya hapo utaandaa alert message ili kukujulisha kuwa kazi imefanyika. Kama kawaida tutatumia if else ili kutuambia kuwa kama data imeingizwa itupe meseji “taarifa zimeingizwa kikamilifu” vingineyo ituambie “kuna tatizo” kufanya hivi tutatumia mysqli_query($conn, $sql)
CODE NZIMA ZA KUINGINZA DATA KWENYE TABLE ZITAONEKANA HIVI:
$servername = "localhost";
$username = "root";
$password = "";
$dbname = "hotel";
// Create connection
$conn = mysqli_connect($servername, $username, $password, $dbname);
// Check connection
if (!$conn) {
die("Connection failed: " . mysqli_connect_error());
}
// delete database
$sql = "INSERT INTO menu (id, name, description, price)
VALUES ('1', 'ugali', 'pata ugali mtamu', 1500)
";
if (mysqli_query($conn, $sql)) {
echo "Taarifa zimeingingwa kikamilifu";
} else {
echo "Kuna tatizo: " . mysqli_error($conn);
}
mysqli_close($conn);
?>
Hakikisha umeshatengeneza table ya menu kwa kutumia SQL code nilizozitoa hapo mwanzoni mwa somo hili. Kama utakuwa umefanya kila kitu sawa, pest code hizo hao juu kwenye faili la php kisha lifunguwe kwa prowser ya">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuandika function yako mwenyewe yaani user defined function
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kukusanya taarifa za watumiaji kwa kutumia html form.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia PDO kutengeneza database, kuteneneza table na kuingiza data moja na zaidi ya moja.
Soma Zaidi...hapa utawenda utuma database wa ajl ya utengeneza maudhu ya PDF.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifundisha jinsi ya kutafuta taarifa maalumu kwenye database kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifnza jinsi ya kufanya prepared statement kama njia ya kuzuia sql ingection kwenye PHP blog
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kutumia prepared ststement kwenye ku fetch data kutoka kwenye database.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya ku connect database, kwa kutumia php
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifnza jinsi ya ku upload file kwenye database. Kisha utajifunza jinsi ya kulisoma faili hilo kwa kutumia php
Soma Zaidi...Katika somo hilibutajifunza maana ya cURL pamoja na matumini yake
Soma Zaidi...