picha

SQL - MySQL somo la 9: Jinsi ya kusoma data kwenye database

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kutoka kwenye database. Pia utajifunza jinsi ya ku limit kiasi cha data ambazo zitaonekana.

Hapa utajifunza jinsi ya kusoma data kutoka kwenye database

 

 

Katika somo hili la tisa tutakqenda kuona namna ya kutumia database. Somo hili tutajifunza jinsi ya kusoma data kwenye database. Hapa tutaona jinsi ya kutumia command kama:-

1. Select

2. limit

 

Somo hili ni msingi mzuri sana kwa masomo yajayo. Somo hili tutakwenda kutumia sana uwanja wa SQL tofauti na masomo yaliyotangalia ambapo tulikuwa tukitumia MySQL interface na SQL .

 

 

Maandalizi ya somo la tisa:

tengeneza database yemye jina hoteli kisha tengeneza table yennye jina menu ama pest code hizi kwenye uwanja wa sql:-

CREATE TABLE IF NOT EXISTS `menu` (

  `id` int(100) NOT NULL,

  `name` varchar(255) NOT NULL,

  `description` varchar(255) NOT NULL,

  `price` int(100) NOT NULL

) ENGINE=InnoDB DEFAULT CHARSET=utf8mb4;

 

 

Kisha jaza data kwenye table yako. Unaweza kupest data hizi kwenye uwanja wa sql:-

 

INSERT INTO `menu` (`id`, `name`, `description`, `price`) VALUES

(1, 'ugali', 'Pata ugali na mchuzi, ama ugali na nyama ama ugali na samaki. Ugali wa mahindi na muhogo', 1500),

(2, 'Wali', 'Pata waki na mchuzi, ama wali na nyama ama wali na samaki.', 2000),

(3, 'chai', 'Pata chai maandazi, chapati, ndizi, na supu', 3000),

(4, 'internet', 'Pata huduma za internet free huku ukijipatia chakula hapa, utalipia kila nusu saa utakalotuia', 700),

(5, 'simu', 'Pata huduma za simu bre huku ukijipatia chakula hapa, utalipia kila nusu saa utakalotuia', 1200),

(6, 'ushauri', 'Tunatowa huduma za ushauri nasaha, utalipia kwa kila nusu saa utakaloluwa unapewa ushauri', 1000),

(7, 'huduma za Afya', 'Hapa utapata huduma za afya za awali kama bipimo vya uti, malaria, mimba na vinginevyo. utalipia kwa kila kipimo', 5000),

(8, 'Mapishi', 'pia tunatowa mafunzo ya mapishi kwa gharama nafuu. Utalipia kwa kila nusu saa utakalokuwa unafundishwa.', 9500),

(9, 'matanazo', 'Pia tunatowa matangazo mbalimbali kuwapatia waeja wetu. utalipia kwa kila tangazo litakapotagazwa', 25000),

(10, 'maji ya kunywa', 'huduma hii itatoka kwa gharama nafuu. utajipatia maji ya kunywa baridi. Utalipia kwa kila glasi', 300);

 

Baada yahapo utakuwa upo tayari pamoja nami katika somo hili la tisa katika mafunzo ya database kwa kutumia software ya MySQl.

 

1. Kusoma taarifa (data) zilizopo kwenye database

Hapa tunatumia command ya SELECT. Lakini pia tunaweza kutumia MySQL interface kufanya hili. Hapa nitaanza kukuonyesha namna ya kutumia MySQL intrface.

 

A. Kusoma taarifa kwenye database kwa kutumia MySQL interface.

1. Kwanza bofya database yako hoteli

2. Kisha tfuta neno lililoandikwa Browse bofya hapo utaona data zote zilizopo.

3. Utaweza kufanya mengine utakayotaka kama tulivyojifunza kama kufuta, kuedit ama kufanya chochote.

 

B. Kusoma taarifa kwenye database kwa kutumia SQl

1. Bofya database yako

2. Imgia kwenye uwanja wa SQl

3. Andika SELECT kisha weka * kisha weka FROM kisha weka jina la table yenye hizo data kisha weka ;  itaonekana kama hivi:

4. SELECT * FROM `menu`

5. Kisha...

Ingia sasa ili uweze kusoma makala hii yote.

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Database Main: Masomo File: Download PDF Views 857

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Dua za Mitume na Manabii     👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉3 ai web app     👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉5 Simulizi za Hadithi Audio     👉6 Kitau cha Fiqh    

Post zinazofanana:

Database somo la 24: Transaction kwenye database

Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu nadharia ya transaction kwenye database

Soma Zaidi...
SQL somo la 16: Jinsi ya kuandaa matokeo ya Mtihani kwa kutumia database

Katika somo hili tutakwenda kumalizia program yetu ya kutengeneza matokeo ya wanafunzi kwa kuweka position kwa kila somo na position ya ujumla.

Soma Zaidi...
Database somo la 23: View kwenye Database

Katika somo hili utakwend akujifunza nadharia nzima ya view.

Soma Zaidi...
Database somo la 22: Primary Key na Foreign Key

Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu Primary Key na Foreign Key

Soma Zaidi...
SQL - MySQL somo la 8: Jinsi ya kuweka data (taarifa) kwenye database

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuweka data kwenye database, ku edit pamoja na kufuta kwa kutumia SQL na Myql interface

Soma Zaidi...
Database seomo la 21: Constraints kwenye Database

Katika somo hili utakwenda kujifunz akuhusu nadharia ya Constraints kwenye Database

Soma Zaidi...