SQL somo la 16: Jinsi ya kuandaa matokeo ya Mtihani kwa kutumia database
Katika somo hili tutakwenda kumalizia program yetu ya kutengeneza matokeo ya wanafunzi kwa kuweka position kwa kila somo na position ya ujumla.
Kuweka poston kwa kila somo:
Sasa tutaanza na kutafuta position ya mwanafunzi kwa kila somo. Pia tutamuwekea Daraja lake.
Hapa tunakwenda kutumia kanuni nyingine. Kwanza tutatengeneza table alias ambayo tutanaka kuitengenezea position. Kwa mfano tutaanza na mtihani wa kusoma. KWa kuwa tayar tunajuwa jinsi ya kukokotoa Daraja yaan Grade hapo sitazungumznia.
Kuhusu position kwanza tutatengeneza table alias. badala ya luita kusoma yutaipa alias Reading. Kisha ili tuweze kutafuta positio kwa simo husika hapa hatutatumia rank() over(). HApa tutatumia mfummo mwingine wa ku count, na kulinganisha alama.
(
SELECT COUNT(kusoma)
FROM majibu
WHERE (kusoma > reading)
) AS kus_pafasi,
utaona hapo kwanz atime count row zinazohuscolumn ya kusoma, kwa kuangalia maksi kubwa. HApo itaangalia yenye maksi kubwa ndio inatangulia. mfano code hizo zitakupa matokeo haya
Changamoto ya kwanz ahapo utangunduwa kuw aimeanza kuhesabu kutoka 0 kwenda juu. sasa ili tuanzie moja tutaongeza namba moja hapo kwenye ku count
Sasa ngoja tuongeze na column ya grade. Lengo tuwe na somo, grade na position .
SELECT DISTINCT(concat(jina_la_kwanza, " ", jina_la_pili)) as jina, kusoma as Reading,
CASE
WHEN kusoma > 40 THEN 'A'
WHEN kusoma > 30 AND kusoma <41 THEN 'B'
WHEN kusoma > 20 AND kusoma < 31 THEN 'C'
WHEN kusoma > 10 AND kusoma < 20 THEN 'D'
ELSE 'F'
END as GRADE,
(
SELECT COUNT(kusoma) + 1
FROM majibu
WHERE (kusoma > reading)
) AS Rank,
kuandika, kuhesabu, (kusoma + kuandika + kuhesabu) as jumla, round(((kusoma + kuandika + kuhesabu)/3),1) as wastani FROM majibu;
Sasa ngoja tufanye hivyo kwa masomo yote yaliobakia.
SELECT DISTINCT(concat(jina_la_kwanza, " ", jina_la_pili)) as jina, kusoma as Reading,
CASE
WHEN kusoma > 40 THEN 'A'
WHEN kusoma > 30 AND kusoma <41 THEN 'B'
WHEN kusoma > 20 AND kusoma < 31 THEN 'C'
WHEN kusoma > 10 AND kusoma < 20 THEN 'D'
ELSE 'F'
END as GRADE,
(
SELECT COUNT(kusoma) + 1
FROM majibu
WHERE (kusoma > reading)
) AS Rank,
kuandika as writing,
CASE
WHEN kuandika > 40 THEN 'A'
WHEN kuandika > 30 AND kuandika <41 THEN 'B'
WHEN kuandika > 20 AND kuandika < 31 THEN 'C'
WHEN kuandika > 10 AND kuandika < 20 THEN 'D'
ELSE 'F'
END as GRADE,
(
SELECT COUNT(kuandika) + 1
FROM majibu
WHERE (kuandika > writing)
) AS Rank,
kuhesabu as arthmetics,
CASE
WHEN kuhesabu > 40 THEN 'A'
WHEN kuhesabu > 30 AND kuhesabu <41 THEN 'B'
WHEN kuhesabu > 20 AND kuhesabu < 31 THEN 'C'
WHEN kuhesabu > 10 AND kuhesabu < 20 THEN 'D'
ELSE 'F'
END as GRADE,
(
SELECT COUNT(kuhesabu) + 1
FROM majibu
WHERE (kuhesabu > arthmetics)
) AS Rank,
(kusoma + kuandika + kuhesabu) as jumla, round(((kusoma + kuandika + kuhesabu)/3),1) as wastani FROM majibu;
Sasa tunakwenda kumalizia na kuweka position ya ujumla, kw akuangalia jumla ya asomo yake yote.
SELECT DISTINCT(concat(jina_la_kwanza, " ", jina_la_pili)) as jina, kusoma as Reading,
CASE
WHEN kusoma > 40 THEN 'A'
WHEN kusoma > 30 AND kusoma <41 THEN 'B'
WHEN kusoma > 20 AND kusoma < 31 THEN 'C'
...
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Simulizi za Hadithi Audio 👉2 ai web app 👉3 Bongolite - Game zone - Play free game 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 Kitau cha Fiqh 👉6 Madrasa kiganjani
Post zinazofanana:
SQL somo la 15: Jinsi ya kutumia sql function kwenye mysql
Katika somo hili utakwenda kujifunza baadhi ya function kwenye sql na jinsi ya kuzitumia.
Soma Zaidi...Database somo la 26: Baadhi ya function za SQL ambayo hutumika kubadili data
Function hizi ni muhimu katika kubadili data kabla ya kuzionyesha. Hii ni muhimu ili kupata structure maalum ya data.
Soma Zaidi...SQL - MySQL somo la 6: Jinsibya kutengeneza table kwenye database
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza table za database
Soma Zaidi...SQL somo la 20: Jinsi ya kuunganisha table kwneye database
Katika somo hili utakwend akujifunz akuunganisha table zaidi ya moja kwneye database.
Soma Zaidi...SQL - MySQL somo la 9: Jinsi ya kusoma data kwenye database
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kutoka kwenye database. Pia utajifunza jinsi ya ku limit kiasi cha data ambazo zitaonekana.
Soma Zaidi...Database seomo la 21: Constraints kwenye Database
Katika somo hili utakwenda kujifunz akuhusu nadharia ya Constraints kwenye Database
Soma Zaidi...