Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia PHP kutengeneza tabale kwenye database ya mysql .
Katika somo lililotangulia tumejifunza namna ya kutengeneza database kwa kutumia PHP. Hivyo umejifunza pia namna ya kuandaa variable kwa ajili ya kutumia SQL. Hivyo katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza table. Tafadhali rejea mafunzo ya database kujikumbusha naman ya kutengeneza table.
Maandalizi
Maandalizi ni yale yale tuliokwisha kuyaona. kwanza ni kuandaa variable zinazohusu database, server na password, kisha ijuwe SQL ststement za kutengeneza table, kisha ujuwe ku connect database. Hivyo nitakuorodheshea haya yote ili iwe rahisi kwako.
Hapa kuna variable nyingine tutaiongeza nayo ni variable ya kuwakilisha jina la database. Yaani kwa kuwa tunataka kutengeneza table, lazima sasa tuseme table hiyo tunakwenda kuitengenezea kwenye database ipi?. Hivy hapa nitatumia $dbname kunaanisha database name, hivyo kuwakilisha jina la database.
katika somo lililopita tulitengeneza databse iliyoitwa hoteli. Hivyo katika somo hili tutakwenda kutengeneza table yenye jina menu katika hiyo database yetu ya hotel. kumbuka jina la server ni localhost, na username ni root. password hakuna, hivyo patakuwa kama palivyo.
//kuandaa variable
$servername = "localhost";
$username = "root";
$password = "";
$dbname = "hotel";
CREATE TABLE IF NOT EXISTS `menu` (
`id` int(100) NOT NULL,
`name` varchar(255) NOT NULL,
`description` varchar(255) NOT NULL,
`price` int(100) NOT NULL
) ENGINE=InnoDB DEFAULT CHARSET=utf8mb4;
Hii ni table tulioitengeneza katika somo la 9 mafunzo ya database bofya hapa kurejea somo
/ Create connection
$conn = mysqli_connect($servername, $username, $password);
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Somo hili litakwenda kukutajia baadhi ya library za php ambazo hutumika kwa matumizi ya ORM
Soma Zaidi...Katika somo hili utajwenda kujifunza jinsi ya kuzuia hacking kwenye website yako
Soma Zaidi...hapa utawenda utuma database wa ajl ya utengeneza maudhu ya PDF.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Cookie Headers
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia constatnt kwenye class.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza Jinsi ya kutumia ORM kwa kutumia library ya RedBeanPHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda Jinsi ya kutengeneza ORM inayofanya CDRUDE operation.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia taarifa ambazo zimekusanywa kutoka kwa mtumiaji ili kuweka kutatuwa hoja mbalimbali
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina ya header inayoitwa Content-Disposition
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutuma email kwa kutumia email() function ya PHP. Hii ni njia rahisi zaidi ya kutuma email. Ila hufanya kazi kwenye hosting.
Soma Zaidi...