Katika somo hili utakwenda kujifundisha jinsi ya kutafuta taarifa maalumu kwenye database kwa kutumia PHP
Kuandaa sql kwa ajili ya ku serarch
kwanza utatakiwa kuselect SELECT ikifuatiwa na column ya hiyo iten unayotaka kuisearch kulingana na mfano wetu ni name ikifuatiwa na FROM kisha jina la table kisha WHERE ksiah jina la column ambapo item uayoserarch ipo kisha LIKE kisha hicho unacho kitafuta kama ni ugali ila hakikisha unakiweka ndani ya ‘’ kama string. mfano SELECT Name FROM menu where name LIKE ‘wali%’
Sasa hapa kuna japo alama ya % ikiwa mbele ya hiyo inayosearch (wali%) maana yake unatafuta neno linalomaliziwa na hicho unachoserarch. na ikiwa alama ya % utakaa mwano (%ugali) maana yake unatafuta neno litakaloanziwa na hicho unacho search. na ikiwa alama ya % itakaa mbele na nyuma (%wali%) ya hilo neno unalo search maana yake unatafuta neolo alililoanziwa ama kuishiwa na hicho unachosearch.
Kwa maelezo hayo basi variable ya kusearch ugali inaweza kuwa hivi
$sql = mysqli_query($conn, "SELECT name FROM `menu` where name LIKE '%wali'");
Kiachofuat ni kuandaa table ya HTML kwa ajili ya kupangilia muonekano. Pia andaa variable zako kwa ajili ya ku connect. kama kila kitu kipo sawa code zake zinaweza kuwa kama hivi
<?php
$servername = "localhost";
$username = "root";
$password = "";
$dbname = "hotel";
">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza aina za data ambazo hutumika kwenye PHP
Soma Zaidi...Katika somo il utajifunza kutuma email kwa watu wengi kwa kutumia PHPMailer. Pia utajifunza jinsi ya kuweka Carbon Copy na Blind Carbon Copy
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsiya kufanya hashing taarifa muhimu kama password. Kufanya hashing kunaongeza usalama wa taarifa za waumiaji kwenye blog yako.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza maana ya PHP na jinsi inavyofanya kazi
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu http header, maana yake na jinsi ya kusoma taarifa zilizopo kwenye http header.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuandika function yako mwenyewe yaani user defined function
Soma Zaidi...HApa utakwenda kujifunza sasa namna ya kuzisoma post kutoka kwenye blog
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kutumia prepared ststement kwenye ku fetch data kutoka kwenye database.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Maana ya JSON na sheria za kuandika faili la json
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia database ya sqlite kwa kutumia PHP.
Soma Zaidi...