Huduma ya kwanza kwa mwenye jeraha linalotoa damu
Posti inahusu huduma ya kwanza kwa mwenye jeraha linalotoa damu.huduma ya kwanza Ni kumsaidia mtu alie pata jeraha au ajali kabla hajamwona dactari au kufika hospitalinia.
Jinsi au namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa mwe mwenye jeraha linalotoa Damu.
1.mwondoe kwenye hiyo sehemu ya Hatari ukizingatia usalama wake na usalama wako ili kusitokee Tena madhara au ajali nyingine .
2.angalia hewa, upumuaji,na mzunguko wake (asses airway, breathing and circulation) hii inakusaidia kujua Kama yupo Hali ya kawaida,amezimia,au koma (unconsciousness) na inakusaidia wewe kujua utaanzia wapi kumsadia mtu huyo aliyepa jeraha. Utagundua kuwa mgonjwa huyo anahitaji huduma ya haraka Sana, au huduma ya kusaidian wewe Kama wewe tu .
3.nawa mikono yako kabla hujagusa jeraha Hilo ili usiambukizie bacteria .
4. Kandamiza sehemu inayotoa Damu kwa kitambaa Safi na salama lakini Kama Damu zikizidi kutoka usikiondoe kitambaa hicho Bali weka lingine juu mpaka Damu itakapo acha kutoka.
5.mpeleke mgonjwa hospitalini kwaajili ya matibabu zaidi endapo jeraha Kama Ni kubwa na unaona kabisa kabisa kidonda hiko hakiwezi kupona haraka au kitachelewa ili jeraha lisije likaoza.
Mwisho; huduma ya kwanza Ni huduma inayowasaidia watu wengi Sana ambao wanapata ajali mbalimbali Kama za magari, za miti n.k husaidia kuokoa maisha ya mtu, kupata huduma ya haraka n.k
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Dua za Mitume na Manabii 👉2 Madrasa kiganjani 👉3 kitabu cha Simulizi 👉4 web hosting 👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉6 ai web app
Post zinazofanana:
Vyakula vya madini
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya madini mwilini
Soma Zaidi...Roghage/ vyakula vya kambakamba
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya roghage
Soma Zaidi...Njia za kuzuia damu isiendelee kuvuja
Posti hii inahusu zaidi njia za kuzuia damu isiendelee kuvuja, ni njia ambazo utumika ikiwa kuna damu inavuja kwenye sehemu yoyote ya mwili,kwa hiyo tunaweza kutumia njia hizi ili kuepuka kuendelea kuvuja kwa damu.
Soma Zaidi...Kazi za chanjo ya polio
Posti hii inahusu zaidi kazi ya chanjo za polio na kazi zake,hii ni chanjo ambayo unazuia maambukizi ya Virusi vinavyosababisha polio.
Soma Zaidi...Sababu Zinazopelekea maumivu ya shingo.
Maumivu ya shingo ni malalamiko ya kawaida. Misuli ya shingo inaweza kuchujwa kutokana na mkao mbaya - iwe inaegemea kwenye kompyuta yako kazini au kuwinda benchi yako ya kazi nyumbani.
Soma Zaidi...