Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza table za database
Katika somo la tano tuliona aina za data ambazo tunakwnda kuzitumia kwenye DATABASE hivyo katika somo hili tutakwenda kuona jinsi ya kutengeneza jedwali au table kwa ajili ya kuhifadhia data.
Kabla ya kuanza somo nataka uelewe vyema tunaposema tadatase table tunamaanisha nini hasa. Kama umeshawahi kutumia microsoft access bila shaka umetambuwa namna ambavyo table inavyofanya kazi. Kama ndio kwanza osijali , somo hili ni kwa ajili yako.
Kwanza chukulia mfano una excel document yako, ambayo ina majina ya wanafunzi na ya wazazi wao. Hivyo utahitaji kuwa na colum kama tatu hivi. Colum ya kwanza ni namba, ya pili ni jina la mwanafunzi na ya tatu ni jina la baba. Sasa excel yako mathalani itakuwa na wanafunzi 45 hivyo kwenye colum ya namba itaanzia moja hadi 45 kwa kulingana na idadi ya wanafunzi. Na hivyo hivyo colum ya majina nayo italingana na namba. Sasa faili kama hili kwenye database ndio huitwa table.
Yaani kwa ufupi table tunaweza taarifa ambazo zinafanana kwenye database. Mfano database ni ya shule ina madarasa. Hivyo kila darasa utaliandikia table yake, ambayo mfano wake ni sawa na kuwa na kila darasa na faili lake la excel ila zote ni za wanafunzi wa shule ambalo ndio itakuwa database yako.
Wacha nikupe mfano mwingine huwenda ukafahamu zaidi. Chukulia tunataka kuhifadhi post zetu kwenye database. Hivyo tutatakiwa ktengeneza table ambayo itakuwa na namba ya post, kichwa cha habari cha post, muhtasari wa post, maudhui ya post, picha, aliyechapisha na tarehe. Wacha nikwambie kitu, angalia post kwenye blog utaona zina vitu hivyo, tarehe, aliyechaposha, muhtasari, maudhui yenyewe, na kichwa cha habari.
Sasa taarfa kama hiyo tutahitaji kuwa na table ambayo itahifadhi taarifa hizo kwa kila post. Kwa mujibu wa mfano huo table yetu itakuwa na colum 7. hizi kwenye database wakati wa kutengeneza table tutaziita field. Hivyo tunaasema table yetu itakuwa na field 7. ili tupunguze urefu wa maneno wacha tutumie kingereza. Field zetu ni id, titlle, summary, content, image, publisher, date.
Ufupi wa maneno ni kuwa ndani ya database taarifa huhifadhiwa kwenye table. Hivyo database moja inaweza kuwa na table hata 100 ama zaidi. Na kila table huhifadhi taarifa zinazofanana ndio maana zinawekwa pamoja. Ok sasa somo letu litakwenda kukufundisha namna ya kutengeneza hizo table.
Jinsi ya kutengeneza table kwenye MySQL
Hapa tutatumia MySQL na pia tutatumia SQL command. Jambo la kwanza unalotakiwa ulijuwe ni kuwa utambuwe aina za data zako unazotaka kuziweka pia ujuwe length ya kila data je unataka ihifadhi character ngapi. Kama tulivyoona katika somo lililotangulia kuwa kila aina ya ata ina idadi ya character zake.
Kwanza tengeneza database na iite blog. Baada ya hapo ifunguwe hiyo database utaona kunasehemu pameandikwa CREATE TABLE IF NOT EXISTS. Darasa letu litaanzia hapo. Kama umefika hapo fuata hatuwa zifuatazo:-
1. Funguwa database
2. Utaona sehemu pameandika CREATE TABLE IF NOT EXISTS na jini kuna kabosi
3. Weka jina la table hapo weka post
4. Kuna palipoandika number of columns hapo weka 7 idadi ya colum zetu kama ilivyo kwenye maelezo hapo juu
5. Bogya GO
6. Utaona ukurasa mpya ambao una vijumba vingivingi lakini ukivihesabu kwa kwenda chini utaona ni 7 kama ulivyoweka hapo mwanzo.
7. Cheki kuna palipoandika name kisha msururu wa vijumba unafata kuelekea chini. Hapo unatakiwa ujaze majina ya kila colum kulingana na maelezo ambayo tumeona hapo juu. Hivyo tutajaza kuanzia na id, kisa kijumba kinefuata ni title kisha kinachofuata ni summarty kisha kinachofuata utajaza contente, kisha ujtajaza image kisha publisher kisha date.
8. Kisha angalia juu kulia kwa name kuna type. Hapo utajaza kila colum ulioandika jina unataka uchu">...
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Database Main: Masomo File: Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 442
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh
👉2 kitabu cha Simulizi
👉3 Simulizi za Hadithi Audio
👉4 Madrasa kiganjani
👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉6 Kitabu cha Afya
SQL somo la 17: Jinsi ya kutengeneza variable kwenye mysql
Katika somo ili utakwend akujifunza jinsi ya kuweza kutengeneza variable kwenye database ya mysql Soma Zaidi...
SQL - MySQL somo la 7: Jinsi ya kubadili jina table na column kwenye database
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kubadili jina la table na jina la column kwenye mysql database. Soma Zaidi...
SQL somo la 16: Jinsi ya kuandaa matokeo ya Mtihani kwa kutumia database
Katika somo hili tutakwenda kumalizia program yetu ya kutengeneza matokeo ya wanafunzi kwa kuweka position kwa kila somo na position ya ujumla. Soma Zaidi...
SQL - MySQL somo la 2: Maana ya database na ina za database na kazi zake
Katika somo hili utakwenda kujifunza aina mbalimbali za database, lugha ya sql pamoja kuzijuwa kazi zake Soma Zaidi...
Database somo la 24: Transaction kwenye database
Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu nadharia ya transaction kwenye database Soma Zaidi...
SQL somo la 14: Jinsi ya kutafuta rank na position kwa kutumia sql
Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kutafuta rank ama position kwenye data base yako kwa kutumia sql. Pia utajifunza kuhusu table alias Soma Zaidi...
SQL somo la 20: Jinsi ya kuunganisha table kwneye database
Katika somo hili utakwend akujifunz akuunganisha table zaidi ya moja kwneye database. Soma Zaidi...
Database somo la 22: Primary Key na Foreign Key
Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu Primary Key na Foreign Key Soma Zaidi...
SQL - MySQL somo la 1: Jinsi ya kutumia database
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuandaa kompyuta ama simu yako kwa ajili ya mafunzo ya database Soma Zaidi...
SQL - MySQL somo la 8: Jinsi ya kuweka data (taarifa) kwenye database
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuweka data kwenye database, ku edit pamoja na kufuta kwa kutumia SQL na Myql interface Soma Zaidi...
SQL - somo la 13: Jinsi ya kutumia CASE kwenye SQL
katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kutumia case kwenye databse ili kuchakata taarifa za matokeo Soma Zaidi...
SQL somo la 15: Jinsi ya kutumia sql function kwenye mysql
Katika somo hili utakwenda kujifunza baadhi ya function kwenye sql na jinsi ya kuzitumia. Soma Zaidi...