Katika somo hili utajifnza jinsi ya ku upload file kwenye database. Kisha utajifunza jinsi ya kulisoma faili hilo kwa kutumia php
Katika somo hili utajifunza jinsi ya ku upload faili lolote kwenye database. Katika mafunzo ya database tulijifunza kuwa media fail zote zinakuwa katika BLOB. Hivyo itabidi tuongeze column nyingine kwenye table yetu. column hiyo tutaiita file. Ingia kwenye databse yako hotel kisha ingia kwenye uwanja wa SQL kisha pest code hizi ALTER TABLE `menu` ADD `file` BLOB NOT NULL AFTER `price`; Kufanya hivyo utakuwa umeongeza column mpya inayoitwa file.
Kuna namna mbili tunawea kuzitumia ili ku upload file kupitia ukurasa wa wavuti. Njiaya kwanza ni kutumia blob ambapo fili lenyewe linakwenda kukaa kwenye database. Njia hii sio nzuri kama database yako ni ndogo, kwani itaweza kujaa kwa haraka. Kwa kupitia niia hii file litakaa kmoja kwa moja kwenye database.
Njia ya piili ni ku upload taarifa za faili tu ila faili lenyewe linabakia kwenye mafolder ya website tyako. Kwa kutumia njia hii storage pekee ndio hutumika ila database itabakia kuwa na taarifa kuhusu hilo faili kama jina, path, aina, ukubwa wake, limewekwa limni n.k. Hivyo ukitaka kuliona file hilo lazima uangalie taarifa kwenye database. lakini pia utaweza kulikuda kwenye ma folder ya website yake.
katika somo hili tutatumia nia ya kwanza. Nia ya pili tutaijuwa katika muendelezo wa course hizi. Ili ku upload file kwa kutumia njia ya kwanza yaani kwenye blob, ingia kwenye table ya menu. Kisha chaguwa menu unayotaka kuiwekea picha, kisha bofya edit kisha sehemu ya file utaona pana Choose File...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza ukurasa wa kupost kwa kutumia html form
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu class inheritance kwenye object oriented programming.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuzungumza na server ili kutengeneza mafaili, mafolda, kufuta na ku edit kwa kutumia PHP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajwenda kujifunza jinsi ya kuzuia hacking kwenye website yako
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kukusanya taarifa za watumiaji kwa kutumia html form.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Cookie Headers
Soma Zaidi...katika somo hili utajfunza kukusanya taarifa za mafaili. kisha ku upload hayo mafaili. kisha kuandika hizo taarifa za mafaii kwenye database
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu cronjob na matumizi yake kwenye PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kupangilia data wakati wa kuzisoma kwenye database kw akutumia PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu content-type header.
Soma Zaidi...